Habarini waungwana!
Jana nilikutana na jamaa yangu mmoja ambaye ni muhudumu wa afya, akanipa ofa (si kawaida yake). Kwa hali hiyo ikabidi nimdadisi, ndo akaniambia amepewa ahsante baada ya kumfanyia uchunguzi na councelling mtoto mmoja wa form 1 (13yrs) katika shule fulani ya boarding!
Baada ya kudadisi vizuri zaidi akaniambia kuwa huyo mtoto amelatiwa na mtu mzima (possibly mlinzi wa shule) ila ameambiwa amfanyie councell mtoto asije kutangaza (Shiit) ili kuharibu jina la shule hiyo!
Sasa kama mzazi najiuliza usalama wa watoto wetu huko mashuleni, tunawapeleka bado wadogo sana then inakuwa ni mbali halafu wanakaa muda mrefu,
Jambo hili limeniuma ndo maana nikalileta hapa!
Ushauri wangu Kama mzazi, muangalie watoto wenu, Msijifanye mko biiize kutafuta hela mpaka mnawatupa boarding school wakiwa wadogo(hata kujitetea hawawezi)
Naandika ikiwa bado nimeumia as if ni mtoto wangu ndo amefanyiwa hivo!
Jamani hatuwapeleki boarding kwa sababu ya ubize, mazingira yanasababisha. Sasa kwa hali hii ya usafiri Dar es salaam, mtoto kusoma day si mateso makubwa? Nina jamaa yangu anakaa Makongo juu mwanae anasoma st Anthony sijui, kila siku anarudi saa tatu usiku, si mateso hayo? Lakini ujumbe umetufikia mkuu, nina binti yupo boarding. Kila siku roho juu juu tu jinsi ya kumlinda na huu ulimwengu katili. Mpaka wakati mwingine nafikiri I worry too much. Kitaniua na presha hiki kitoto. Naomba tu waniachie walau afikishe 18!
Binafsi huwa napinga sana kitendo cha watoto wadogo kupelekwa shule za bweni...mtoto anatakiwa kuwaacha wazazi wake na kukaa mbali mpaka anapofikisha umri wa miaka 18.....
Habarini waungwana!
Jana nilikutana na jamaa yangu mmoja ambaye ni muhudumu wa afya, akanipa ofa (si kawaida yake). Kwa hali hiyo ikabidi nimdadisi, ndo akaniambia amepewa ahsante baada ya kumfanyia uchunguzi na councelling mtoto mmoja wa form 1 (13yrs) katika shule fulani ya boarding!
Baada ya kudadisi vizuri zaidi akaniambia kuwa huyo mtoto amelatiwa na mtu mzima (possibly mlinzi wa shule) ila ameambiwa amfanyie councell mtoto asije kutangaza (Shiit) ili kuharibu jina la shule hiyo!
Sasa kama mzazi najiuliza usalama wa watoto wetu huko mashuleni, tunawapeleka bado wadogo sana then inakuwa ni mbali halafu wanakaa muda mrefu,
Jambo hili limeniuma ndo maana nikalileta hapa!
Ushauri wangu Kama mzazi, muangalie watoto wenu, Msijifanye mko biiize kutafuta hela mpaka mnawatupa boarding school wakiwa wadogo(hata kujitetea hawawezi)
Naandika ikiwa bado nimeumia as if ni mtoto wangu ndo amefanyiwa hivo!
this^.dist111 Heshima mbele,
Awali ya yote umesema wewe ni Mzazi,
Na kama mzazi makini naomba ufanye yafuatayo:
Mosi, Kuna suala la kubaka mtoto tena kinyume cha maumbele na Mlinzi wa shule. Mabadiliko yanaanza na sisi wenyewe, chukua hatua stahiki baada ya kupata jina la mtoto na kuwashirikisha wazazi wake (Rohoni fikiria kuwa huyo ni mtoto wako wa kumzaa na amefanyiwa hivyo);
Pili, tunza jina la mtoto, lakini toa habari yenye mashiko, taja jina la shule, hospitali na siku huyo mtoto alivyopelekwa kufanyiwa ushahuri nasaha.
Mwisho, suala si 'credibility' ya shule bali suala ni usalama wa mtoto. chukua hatua, change begins with you!!
dist111 Heshima mbele,

wewe taja shule la sivo itakuwa laana ya hako ka kwako nako katafanyiziwa maana umekumbatia uhalifuUmeelewa lakini kisa chenyewe, hata kama ukiripoti polisi ushahidi hakuna! Mtoto katuliza, mwalimu ndo hivo na mhudumu wa afya kesha kula chake! its hard dats why inaniuma saaana! (Nina kabinti kangu kanakaribia kuanza shule napanga kukafundiswa mwenyewe) Daah
Umeelewa lakini kisa chenyewe, hata kama ukiripoti polisi ushahidi hakuna! Mtoto katuliza, mwalimu ndo hivo na mhudumu wa afya kesha kula chake! its hard dats why inaniuma saaana! (Nina kabinti kangu kanakaribia kuanza shule napanga kukafundiswa mwenyewe) Daah