Kama mwanamke wako amewahi kukupa mojawapo ya maneno haya, unatakiwa kujitafakari

Na ukipuuza kila anachokisema utakuja kulia kilio cha mbwa.

Shida huwa hamueleweki na mood zenu Kama bembea.As a man naweza kutunza tuu kukufuatisha kila kitu wasema kwa mwanamke ni ngumu nyie ni Kama watoto.Tutaishia kubembelezana tuu.
 
nakubaliana na wewe mkuu, hawa viumbe ni wa ajabu sana.
 
Sasa ulitaka tuseme nataka dyudyu!!! Had muombwaji si utashtuka jamani
mmoja ananiambiaga naskia baridii, wakat wote tupo eneo 1 ila yeye baridi kwake kali,nikisikia hivyo tu najiongezaga..mchezo ukiisha et yupo ok😂
 
option 2
 
Ukiona mbwa wako anakubwekea hovyo ujue kuna mtu anamlisha
Sina maana ya mbwa kama mbwa
 
Mkuu ilishanitokea, lakini nilikuwa na nyumba ndogo.
Nilipata maneno mengi ya aina hiuo,
" wanaume wananitongoza lakini sitaki"
"Nimekopa kwa XXX , tumrudishie haraka maana anataka nimpe vitu au nimrudishie hela"
"YYY ananisumbua sana, maana ananitaka, nimemwomba anikopeshe"

Mwisho wa siku nikaamua kama konokono kurudi ndani ya nyumba na kukata uhusiano.
Kuja kugundua kumbe muda wote huo nilikuwa mbuzi wa kafara.
 
Mkuu upo kwa asilimia 99. Mimi nilishafanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha, mwanamke anayetamka maneno ya aina ya hiyo kwa kurudia-rudia, mara nyingi anakuwa ameshakugeuza kama chapati bila ya wewe kujijua.

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…