Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,383
- 105,886
Duh!
Babu hivi huwa huchoki kubishania hayo mambo?
Kwa sababu naona kama vile huwa unabishana na watu wasiojua tofauti kati ya imani na ujuzi!
Hakuna kuchoka katika kutafuta uweli.
Mtu anakwambia anaamini kitu kwa sababu anakijua. Hajui hata kama kuamini na kujua ni vitu tofauti.