Kama mtu unakubalika kwanini uombe kura?

Le mutuz bana, ukishinda unapewa bilioni ngapi?

- Nikishinda the Value of my Instagram Page inaongezeka so nitaanza kulipisha hela kubwa zaidi za matangazo, kama kuna zawadi au hakuna I could careless ila imagine kuanzia Jumamosi Usiku my Instagram Page itakuwa ndio the Best Educational Instagram Page in Tanzania hiyo ni zawadi tosha sana sihitaji hata nyingine zaidi.

le Mutuz
 
Mkuu nilitaka kukupa kazi fulan ya kunitangazia biashara yang lakin ulinipa wasiwasi ya comment zako na follower wang insta mana naona wakicomment sana hawafiki 30 ko nkaona bora niache..mana utakula hela yang bure ko nikaona nikamwombe shishikiuno
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
- Aliyekuambia wanaonunua vitu vinavyotangazwa ni wanao comment? hahahahaha Una maana wewe una akili ya kutangaza biashara kuliko Vodacom-Tanzania ninaowatangazia matangazo yao? Waulize wanaojua hii biashara ya matangazo what it takes kupewa tangazo na Vodacom, Instagram yangu imejaa akili kubwa sana ndio maana inakubalika sana na Makampuni makubwa kama ASAS, wewe kwanza hata bei huiwezi so nenda huko swekeni pale kwangu huwezi ni pakubwa sana!!

Sasa followers wenyew unao wachache mana ndo wanaoona kile unachotangaza ndo mana nikaona bora nimpe tangazo shishi baby kuliko ww labda sabb bei yako elfu 50 kwa tangazo nitaleta ili nipate wateja wa wanaojielewa ambao unawasema ww

- Hapana huwa nawatangazia makampuni makubwa kama Vodacom na Asas, sasa wewe hata sikujui kwani kampuni yako inaitwaje hapa mjini? Maana unaowataja bado hawana sifa za kutangaza matangazo ya Vodacom bado unajua sababu? Wana followers wengi ambao ni mbumbumbu ukitaka darasa nitakupa kuhusu namna ya Matangazo kwenye Instagram na Social Media kwa ujumla naona ni mgeni sana na hii business, hahahahahahahaha

le Mutuz Nation
 
Eboooo hao wenye mashindano yao Hawana adabu how come wanamshindanisha babu na Wajukuu?

hivi hawaoni kuwa huyu ni babu yao?!

Kisa anatupia mashati makubwa makubwa kama magauni ndio maana wanamuona rika lao eboooo
 
- Hahahahahahahaha mpaka sasa kura zipo hivi mkuu hahahaha tukutane kesho Escape One BEach Club, umeona no competition yaani nilikuwa on the league of my own!!

le Mutuz
 
- Nikishinda the Value of my Instagram Page inaongezeka so nitaanza kulipisha hela kubwa zaidi za matangazo, kama kuna zawadi au hakuna I could careless ila imagine kuanzia Jumamosi Usiku my Instagram Page itakuwa ndio the Best Educational Instagram Page in Tanzania hiyo ni zawadi tosha sana sihitaji hata nyingine zaidi.

le Mutuz

Kwa kutublock kule hata tukikohoa....utabaki na value yako mwenyewe babu,
 
- Hahahahahahahaha mpaka sasa kura zipo hivi mkuu hahahaha tukutane kesho Escape One BEach Club, umeona no competition yaani nilikuwa on the league of my own!!

le Mutuz
Wote walio kupigia kura wanamatatizo vichwani mwao page yako niliwahi pitia siku moja sikuona kitu cha muhimu ulicho post zaidi ni mapicha umekumbatiana na wanawake,hivi unawafanyia biashara?
 
- Imagine nina matatizo kichwani lakini usiyekuwa nayo umeacha kazi zako kuja kunifuatilia hahahahaha huoni unacheka na kujitekenya mwenyewe hahahahahahahahaha U know

le Mutuz
 
- Siku nikiingia hapa na majina ya bandia kama wewe ndio nitakuwa niemfika mwisho wa maisha yangu hahahahahahah kwani una umri gani mkuu? hahahahahaha

le Mutuz
Hahaha mkuu ushasikia a psychiatric term "mental retardation". Na nina umri wa miaka 25 mkuu nadhani imejieleza vizuri kwenye profile yangu. How old are ypu again?
 
Kwa kutublock kule hata tukikohoa....utabaki na value yako mwenyewe babu,

.

Le Mutuz Nation
35 mins · Instagram ·
Huu ndio msimamo wa Matokeo ya kura za kinyang'anyiro cha "THE INSTA AWARDS BEST EDUCATIONAL PAGE"....ndio maana toka jana usiku niliacha kuomba kura yaani hata ukijumlisha namba za washindani wangu bado hazifikii hata nusu ya kura zetu ....thanks Guys kwa ushirikiano wenu....thank U guys kwa kura zenu ...thank U all Wabebezz kwa kura zenu kama kawaida najua sana nimebebwa na Mabebezzz zaidi hahahahaha love U all ....now TUKUTANE leo usiku at Escape One Beach Club kwenye tunzo! .....again I am Super Humbled U know! - le Mutuz Nation

- hahahahahaha tatizo wwewe ni mtu mmoja tu sikuhitaji you are no body, wasalimie hahahahahaha ona matokeo ya kura mpaka jioni hii sasa tukutane usiku wa leo Escape One hahahahahah U know

le Mutuz
 
Hahaha mkuu ushasikia a psychiatric term "mental retardation". Na nina umri wa miaka 25 mkuu nadhani imejieleza vizuri kwenye profile yangu. How old are ypu again?

- Miaka 25 unatukana watu usiowajua kwa majina ya bandia ukifikia miaka 50 utakuwa mganga wa kienyeji hahahahahaha, hahahahahaha sasa kumbe hata umri wangu huujui na huku umeshauzungumzima haha sasa kama sio mental retarded ni nini hahahahahahaha unanivunja mbavu sana kijana mdogo, watoto wote wapo wodi ya Mwaisela Muhimbili sio huku Jamiiforums hahahahahahahah

le Mutuz
 
.

Le Mutuz Nation
35 mins · Instagram ·
Huu ndio msimamo wa Matokeo ya kura za kinyang'anyiro cha "THE INSTA AWARDS BEST EDUCATIONAL PAGE"....ndio maana toka jana usiku niliacha kuomba kura yaani hata ukijumlisha namba za washindani wangu bado hazifikii hata nusu ya kura zetu ....thanks Guys kwa ushirikiano wenu....thank U guys kwa kura zenu ...thank U all Wabebezz kwa kura zenu kama kawaida najua sana nimebebwa na Mabebezzz zaidi hahahahaha love U all ....now TUKUTANE leo usiku at Escape One Beach Club kwenye tunzo! .....again I am Super Humbled U know! - le Mutuz Nation

- hahahahahaha tatizo wwewe ni mtu mmoja tu sikuhitaji you are no body, wasalimie hahahahahaha ona matokeo ya kura mpaka jioni hii sasa tukutane usiku wa leo Escape One hahahahahah U know

le Mutuz
The type of people mliozaliwa kwa makusudi ila mnaishi kwa bahati mbaya. We mzee kwanin usijishugulishe kama mzee wako ukaacha legacy? Ukifa unataka kwenye wasifu wako tuseme marehemu alikuwa "king of all bongo social media". What is even ur purpose duniani le akilo kubwaz eti? Its not too late to redefine a new path hata wakina Kentucky Fried chicken wameanza at the age of late 50s. Unao muda wa kubadilika. Unasema kabisa tukutane escape one... ulikula wakati wa kina king kiki na kitambaa cheupe leo unataka ukale na kokoro na akina diamond. We mzee wewe Mungu anakuona
 
Back
Top Bottom