Ha ha...usimkatishe tamaa jamani...Biashara hii unaweza kufanya hata nyumbani kwako....nunua nguruwe, uwafunge...wakikua usiuze. waache wazaliane. Faida utapata tena sana ila inataka subira.
Ha ha...usimkatishe tamaa jamani...Biashara hii unaweza kufanya hata nyumbani kwako....nunua nguruwe, uwafunge...wakikua usiuze. waache wazaliane. Faida utapata tena sana ila inataka subira.
Wazo zuri lakini nadhani linamfaa aliyekwisha fanya initial investment ya ufugaji kuku, nikimaanisha ana banda, vyombo vya kulishia na kunyweshea na uhakika wa nishati joto....Sasa Je Muuliza swali anavyo?
Kweli kuku wa nyama ni biashara nzuri sana, japo ina changamoto nyingi mno.