kama mtu ana 1 MIL AFANYE BIASHARA GANI MAENEO YA MWANZA

Ha ha...usimkatishe tamaa jamani...Biashara hii unaweza kufanya hata nyumbani kwako....nunua nguruwe, uwafunge...wakikua usiuze. waache wazaliane. Faida utapata tena sana ila inataka subira.
 
Ha ha...usimkatishe tamaa jamani...Biashara hii unaweza kufanya hata nyumbani kwako....nunua nguruwe, uwafunge...wakikua usiuze. waache wazaliane. Faida utapata tena sana ila inataka subira.

umejuaje kama siyo muislam?
 
Sadru, cheki soko la kuku wa nyama hapo Mwz. Umeikosa fursa ya Xmas. kifaranga MWZ ni 1600/= kukuza mxmm 2400/= ......
 
Jumla max 4000/= wiki ya 5 uza kila kuku kwa 5500/=. Anza na 200pcs.Wakifika wk ya 3 ingiza wengine ili kuendeleza soko
 
kama unaweza kusimamia mgahawa tafuta eneo la mkolani utawini.biashara ya chakuka faida nzuri.
 
Sadru, cheki soko la kuku wa nyama hapo Mwz. Umeikosa fursa ya Xmas. kifaranga MWZ ni 1600/= kukuza mxmm 2400/= ......
Wazo zuri lakini nadhani linamfaa aliyekwisha fanya initial investment ya ufugaji kuku, nikimaanisha ana banda, vyombo vya kulishia na kunyweshea na uhakika wa nishati joto....Sasa Je Muuliza swali anavyo?
Kweli kuku wa nyama ni biashara nzuri sana, japo ina changamoto nyingi mno.
 
Back
Top Bottom