Kama MTANZANIA Mzalendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama MTANZANIA Mzalendo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Dec 30, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mimi kama Mtanzania mzalendo naipa hongera CUF kwa kufanikiwa kuanika hadharani nia na lengo la kudai Katiba mpya ,hivi sasa sio siri tena Dunia nzima imeshapata habari,hivyo kiongozi mkuu yeyote wa serikali atakaesafiri kwenda nchi za nje ajue dai hilo atalikuta huko anakokwenda.

  Hongera CUF kwa muongozo huo natumai wazalendo wengine wataungana na kuwa na sauti moja.
  Kama mzalendo hai wa Taifa hili la Tanzania naipa hongera za dhati CUF bila ya kujali itikadi za Chama....................Je wewe Mtanzania uliebahatika kusoma au kusikia habari hii ?
   
Loading...