GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
“Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa kwa kurasa zetu” – Karim Boimanda – Afisa Habari wa Bodi ya Ligi.
Chanzo: East Africa TV dakika 30 tu zilizopita.
Kudadadeki.....!!!!!!!
Chanzo: East Africa TV dakika 30 tu zilizopita.
Kudadadeki.....!!!!!!!