engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
kama misri wameweza tanzania tunashindwa nini? naongelea juu ya jeshi kuitupa katiba ya zamani na kulivunja bunge la misri je tanzania hatuwezi kuitupa katiba kandamizi na kuacha bla bla za kuunda kamati ambazo mchakato wake unaweza ukatukuchuwa hata miaka mitano ndio kamati ikamilishe maoni yake,na pia upo uwezekano wa Raisi kuyakubali ama kuyakataa maoni hayo
kwa nini tusifanye kama misri?
kwa nini tusifanye kama misri?