U nail it
Hapo mkuu umetugeuka wapiga kura wako. Ulipotuomba kura hukutuambia hayo unayoyasema sasa ya kupambana sijui nini. Ulisema maisha yatakuwa mazuri sana na tutatoa misaada hata kwa nchi nyingine ndio maana nikapiga kura.Unajidanganya.
Pambana, na hali yako acha udhaifu na ugoigoi.
Hahahahaaa! Mkuu, pamoja na kununua "mandege, matreni, kujenga mabarabara na madaraja yake, kuondoa mahewa kazini, kutumbua majipu na hangine na hangine"! Bado tu unararamika?Hata kama mwanasiasa afanye nini lakini kama hatabuni mbinu ya kuwafanya wananchi wamudu kula milo mitatu kwa siku bado kazi itakuwa kubwa sana kwake 2020. Chakula lazima kitangulie mambo yoooote ya wananchi la sivyo usitegemee kitu
Hizi kauli hutolewa na viongozi baada ya kuchaguliwa ila wakashindwa kufanya majukumu yao. Sasa hiv mmekuja na kamsemo ka kupambana na hali yako. Sasa 2020 na wao wapambane na hali yao."You nailed it"
Shule ulienda kosomea ujinga!?
By the way, pambana na hali yako ya kiuchumi acha porojo na ugoigoi!
Je, ulimsikia mwanasiasa yeyote anakuahidi kuwa ukimchagua atakuletea ugali na dagaa mezani!?
Hizi kauli hutolewa na viongozi baada ya kuchaguliwa ila wakashindwa kufanya majukumu yao. Sasa hiv mmekuja na kamsemo ka kupambana na hali yako. Sasa 2020 na wao wapambane na hali yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mkuu umetugeuka wapiga kura wako. Ulipotuomba kura hukutuambia hayo unayoyasema sasa ya kupambana sijui nini. Ulisema maisha yatakuwa mazuri sana na tutatoa misaada hata kwa nchi nyingine ndio maana nikapiga kura.
Njaa haijui sheria wala haki. Fanya yoooote lakini njaa kiboko chao. Njaa inaweza kumfanya mtu ayang'oe mataruma ya reli, matairi ya bombadieee, vyuma vya madaraja na minara ya simu akauze kama chuma chakavu akanunue ugali maharagwe.Hahahahaaa! Mkuu, pamoja na kununua "mandege, matreni, kujenga mabarabara na madaraja yake, kuondoa mahewa kazini, kutumbua majipu na hangine na hangine"! Bado tu unararamika?
Waseme na kufanya yoote kwa wananchi wao lakini 2020 itakuwa zama ya wananchi nao kusema na kufanya yoote kwa wanasiasa wao watakaokatiza mbele yao. Nijuavyo mimi chakula, maji, matibabu na kodi ya nyumba haviwi nyuma ya kitu chochote, kama bado na kura bado piaHizi kauli hutolewa na viongozi baada ya kuchaguliwa ila wakashindwa kufanya majukumu yao. Sasa hiv mmekuja na kamsemo ka kupambana na hali yako. Sasa 2020 na wao wapambane na hali yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati mnaomba kura hamkusema tupambane na hali zetuUnajidanganya.
Pambana, na hali yako acha udhaifu na ugoigoi.
Embu nukuu akisema atakuwezesha kula lakaa 3,kulala na kuvaa vizuri.Fanya ulivyotuambia wakati unatuomba kura, usidhani tumesahau
Jirani yangu wa upande wa Mashariki ni fisadi na anakwepa kodi sifanani nae kabisa lakini jirani yangu upande ya Kaskazini ni fundi ujenzi analalamika kuwa kazi hakuna siku hizi, watu hawajengi siku hizi, jirani yangu wa upande wa Kusini ni Mwalimu, analalamika kodi ya nyumba imekwisha anadai malimbikizo ya kupandishwa madaraja kazini kwake yule wa upande wa Magharibu ana mtoto wake amemaliza chuo cha udaktari mwaka 2015 hajapata ajira. Hivyo mimi na majirani zangu hatufanani kila mmoja analalamikia kitu fulani.Kuna watu inawezekana hamjui hata majukumu yenu kama binaadam.
Eti mtu akuwezeshe kula milo mitatu,sijui ni kwa namna gani??
Kama uongozi ni sababu ya umasikini wa mtu mmoja mmoja basi wote tungekuwa na hali moja kiuchumi,embu jitafakari kama unalingana na jirani yako hapo.
Marekani ni mfano wa donor country,je wanaokula mlo mmoja hawapo???alaumiwe trump au Obama???Unafahamu maana ya nchi kuwa a donor country?
Jirani yangu wa upande wa Mashariki ni fisadi na anakwepa kodi sifanani nae kabisa lakini jirani yangu upande ya Kaskazini ni fundi ujenzi analalamika kuwa kazi hakuna siku hizi, watu hawajengi siku hizi, jirani yangu wa upande wa Kusini ni Mwalimu, analalamika kodi ya nyumba imekwisha anadai malimbikizo ya kupandishwa madaraja kazini kwake yule wa upande wa Magharibu ana mtoto wake amemaliza chuo cha udaktari mwaka 2015 hajapata ajira. Hivyo mimi na majirani zangu hatufanani kila mmoja analalamikia kitu fulani.