Jamaa mmoja alikuwa anatembea, gafla akaona kitu kama mavi, akashtuka! "Hmm yanaonekana kama mavi?! Hebu nishike nione" akashika... "Doh ni laini kama mavi, lakini ni mavi kweli?! Hebu ninuse" akanusa... "Aah yananuka kama mavi, lakini hmm siamini! Hebu nirambe" akaramba... "Mama wee kumbe ni mavi kweli, nashukuru sijayakanyaga!" Ha ha haa www.majanga.com