William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Hapa ndipo panapokuwa pagumu discussing anything with you, pray tell, where and how have I been inconsistent? Au bado kivuli chako kinakutoa jasho?
Again, you're totally missing the point!
Huo mfano unaoung'ang'ania wa form 6 na Casino is skewed and misplaced at best, if anything with a background such as his alitakiwa awe na chain ya hotels and restaurants all over africa but then that would perhaps have required MBA type strategic planning. He's done good but he could've done better and he knows it.
Yeye mwenyewe, being the savvy businessman that he is(I know, I know I'm being overly generous here) ameona umuhimu wa kuongeza elimu at this point. Kifupi ni kwamba kaona anakoelekea anahitaji zaidi ya form 6, unless uniambie vinginevyo.
Unajua fika hakuchaguliwa aliyeishia form 6 au mwenye diploma tu, for that matter.
Mtu anapochukia elimu huwa kwa kawaida anakuwa either naye hana elimu au anashaka na elimu yake au hajui kabisa umuhimu wa elimu. These are just facts, sikuzitunga.
Acheni kuzungusha maneno, shule ni muhimu tena sana. Huyo mheshimiwa mhimizeni amalize hiyo degree yake vinginevyo itakuwa ngumu kwake kisiasa tunapoenda huko mbele.
Hatutampima kwa kufanikiwa kuendesha hizo biashara zinazotajwa hapa. Kama ni mafanikio kibiashara kwa nini tusimpe urais Mengi?
Mwenzake Mbatia tupo naye hapa Uholanzi na mambo yake yanakwenda vizuri. Naona huyu kijana Mbatia kwa kweli anajipanga vizuri kishule, tena hana papara kabisa.
hongera sana kwa kuwatolea watu humu uvivu maana wengine wabishi kama....!!
Bwana Kada kama una tatizo na mimi au hoja yangu basi niruhie mwenyewe tu mawe na mimi nitakujibu sina uoga na yoyote hapa lakini sitishiki na maneno matupu au hoja hewa, kama wewe una problemn na mimi na hoja zangu weka zako nitakujibu au anything siogopi mtu hapa hata siku moja huna haja ya kupandia mwingine wewe weka nikuweke!
Watu wazima hatutishiani nyau hata siku moja!
Aliyechaguliwa ni Kikwete, sio Professor MWandosya hilo tunajua sana mkuu na matokeo ya maendeleo makubwa sana tunayaona, au?
Haya maneno yangekuwa ya kweli basi Lipumba angekuwa rais tayari, ni maneno ya choooni tu hayana nafasi kwenye siasa zetu na taifa letu kwa ujumla, Professor MWandosya angeshakuwa rais tayari kama unayosema ni kweli! acha kuzungusha maneno bro!
]Kama utashindwa kutumia elimu yako katika jambo unalolipenda (in this case SIASA) basi kwa kifupi nakushauri USIINGIE KWENYE SIASA AU KWENYE FANI YOYOTE ILE ! Kuwa na elimu na kutoweza kuitumia vizuri sio kigezo cha kusema elimu sio muhimu !!![/B
Nafikiri hakuna asiye na akili hapa wa kutokujua anayetolewa jasho na kivuli chake ni nani! kati yangu na wewe mkuuuuuu sana na mtu mwenye akili nyingi sana, ninachokuambia ni kuwa Mbowe kufkia form six sio death sentence, na si kweli kuwa wa-Tanzania wote waliofikia form six wakashindwa kuendelea ni wapumbavu, kwa sababu wewe ulipokuwa BOT na form six yako hukuwa mpumbavu, unless unataka kusema kuwa ulikuwa?
Mkuu Mbowe kule Moshi ana hotel ambayo sio Casino lakini ni kubwa na safi sana, kwa hiyo kama ni chain anayo tayari je wewe uliyesama kuliko yeye unazo ngapi bro? He could have done better kuliko alivyo sasa kwa standard ya nani?
Haya unayosema hapa sio hasa hoja yako, ningekuelewa ungesema kuwa Lipumba amekuwa rais kwa sababu ni professor, Seif amekuwa rais kwa sababu ana degreee, Chenge ameliongoza vizuri taifa letu kwa sababu ana degree ya sheria, lakini huna mfano zaidi tu ya matusi na chuki za binafsi, hivi huoni aibu mkuu? Hoja huna ila una chuki tu za binafsi ambazo hazimzuii mtu kulala, wa-Tanzania waliomalzia from six sio wapumbavu, Mbowe is doing just fine kama akitaka kusoma ni hiari yake asipotaka ni hiari yake, lakini hakuna wa kumlazimisha kwa sababu hajavunja sheria yoyote ya nchi kwa kuwa form six, tafadhali mkuu acha ujinga maana unaoufanya sasa ni utoto! Halafu ninaomba tena nikuonye kua tumia lugha za kistaarabu kwa sababu hizo unazotaka nitakupa na hutaziweza!
]
Tanzania hatujawahi kuchagua rais kwa elimu, wala biashara kwa hiyo hii hoja ni mufilisi, Mbatia ana elimu tayari kwenye uchaguzi uliopita alipata urais wa wapi wakuu? Mbatia si ndiye aliyekuwa kiongozi wa migomo Mlimani au? Sasa mbona hajapata urais bado?
Elimu haijawahi kuwa kigezo cha kumachagua rais bongo, wakuu msistutishe sana na hoja hewa na msiajribu kutumia nguvu za hoja!
]
Kwa kutumia elimu tu ya form six Mbowe, ameweza kufanya wonders, kama kuwa one of the best politician of our time, na pia kuwa mfanya biashara ambaye ni very successful kwa taifa letu lenye wananchi karibu millioni 35,
Katika siasa Mbowe hajaiba, hajadhulumu, hajafanya ufisadi, as opposed na viongozi waliosoma kama Lowasssa, Mkapa, Msabaha, Karamagi, Chenge,
Mnasema maneno mengi sana kuhusu elimu ya Mbowe, lakini mnashindwa kihoja kwa sababu mnatakiwa mtueleze mazuri ya viongozi wetu waliosoma na madhara ya viongozi wetu kama Mbowe mwenye form six, hapo ndipo mnapohangaika na kujaribu kutumia hoja za nguvu,
Mimi ninachojua ni kimoja tu kuwa kuna lijitu hapa linajidai lina elimu sana na kutukana wengine kuwa hawana elimu, lakini cha maana lilichofanya na elimu yake ni kujaribu kumtongoza mama mwenye umri kama kupita hata wa mama yake mzazi eti ndiyo elimu hiyo mnayowatukania wengine?
Kafara mkuu acha spin,
Unajua fika hakuchaguliwa aliyeishia form 6 au mwenye diploma tu, for that matter.
Aliyechaguliwa ni Kikwete, sio Professor Mwandosya hilo tunajua sana mkuu na matokeo ya maendeleo makubwa sana tunayaona, au?
Iwapo CHADEMA watamsimamisha tena Mbowe mwaka 2010 basi ujue chama kimeoza kabla ya kukomaa!