Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,142
Watoto wa kike dili sana
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Mmh,mbona kawaida,,my bro ameoa majuzi,,kalipa mahali milion 8.5
Mi nilienda hukohuko, nikadaiwa mahari ya majini mahaba wanne, maimuna wawili, marohani watatu na vibwengo kumi
kama mimi
naondoka kimyakimya,mchuchu lazima atajileta
namtundika mimba natulia,mbona watanilazimishia bila kutoa
hata mia,kwani naoa malaika heee!!