Kuna kila dalili Chadema imepata doa ambalo haliwezi kufutika. Mbowe anatuhumiwa kwa kesi ya Ugaidi kosa ambalo ni hatari sana kwa usalama wa nchi, ni ukweli usio na shaka kuwa Japo bado ni tuhuma lkn ni tuhuma nzito.
Sio tu ni pigo kwa Mbowe mwenyewe lakini pia lina athari ya moja kwa moja kwa chama chenyewe kwa sababu Mbowe ndio alikuwa kiongozi, hivyo tuhuma zinazo mkabili zimekichafua chama kwa kiwango ambacho hakitosafishika wala kuaminika ktk jamii.
Kufuatia tuhuma hizi dhidi ya Mbowe kwa sasa Chadema inaonekana kama Genge la wahalifu na hivyo kila mtu anakiogopa.
yaani Mbowe kanyea kambi.
Kama Lissu anaweza kuchanga karata zake basi ni vyema akafikiria kuanzisha chama chake.