Kwa hiyo lawama kwa simba au kwa Refa? Na hiyo mechi ilikuwa simba vs yanga?Muhindi wa mikia anaunawa mpira ndani ya 18 refa kipofu..Morrison anaangushwa ndani ya 18 refa kipofu
Kwani ule mpira wa santos ingepigwa penalt ndo yanga mngeshinda?? Acheni kulialiaMuhindi wa mikia anaunawa mpira ndani ya 18 refa kipofu..Morrison anaangushwa ndani ya 18 refa kipofu
Hii timu ikishinda wanasema timu yao ni bora, ikifungwa tu wamehujumiwa. Na Simba ikishinda imebebwa, ikifungwa ni mbovu! Yaani kwao zuri halipo kenge hawa..Hii timu siku hizi inalalamika mfano hakuna, kila ikipatwa na dhahama Simba kwao anahusika. Hakuna jema kwao kila kitu lawama.
Hata lile goli la mbeya city lilikuwa offside ila refa na mshika kibendera wakapeta yaani Yanga tunaonewa sanaMuhindi wa mikia anaunawa mpira ndani ya 18 refa kipofu..Morrison anaangushwa ndani ya 18 refa kipofu
Mkuu, yanga hii ambayo haibebwi na marefa wa kibongo ikienda huko kimataifa huwa inafikia hatua gani kwaniMpira ni mchezo wa hadharani, Yanga kulalamika juu ya marefa wako sahihi na malalamiko yao ni ya msingi haiwezekani wao Yanga wakicheza matukio ya penati ambazo endapo zingetolewa zingewanufaisha hazitolewi, Alafu mpinzani wake wa jadi simba amenufaika na makosa ya marefa karibu mechi tano mfulululizo ambazo kama kungekua na umakini ata idadi ya point kati yao ingekua ndogo na hivi tunavyo kandika Simba ingekua imesha tolewa katika FA na mwadui.
Matokeo yake Simba anaweza akawa bingwa wa Vodacom kwa kubebwa, ila aibu inakuja kwenye mashindano ya Caf ya vilabu Timu inapigwa goli tanotano mfululizo mna anza kugombana na Makocha,wachezaji, Marefa mlisha sahau kua hamkustahili kutwaa ubingwa ila mlibebwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya mada kidogo! Vipi kishingo aendelee au atoke? Mana mkifungwa kishingo mbaya, mkibahatisha mpo kimya!Hii timu ikishinda wanasema timu yao ni bora, ikifungwa tu wamehujumiwa. Na Simba ikishinda imebebwa, ikifungwa ni mbovu! Yaani kwao zuri halipo kenge hawa..
Sent using Jamii Forums mobile app