Kama la RC makonda ni kweli UVCCM ichunguzwe

Kama la RC makonda ni kweli UVCCM ichunguzwe

Vijana wa CCM kina kibajaji,kule hata ukiingia uko timamu,unakuwa fyatu,ukitoka tu unakuwa mzima,ebu ona wema asa iv alivyopoa,anaongea kama wakili msomi
Kuhusu wakili msomi nimekubali. Shishiemu inafanya vijana wao wanaonekana zumbukuku lakini hawajui masikini! Huzuni kubwa hii [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
WHERE IS TAKUKURU. HII TAASISI BORA IFUTILIWE MBALI WATU WANALIPWA VIZURI LAKINI HAWAJUI KAZIYAO.
MWANDISHI MWENYE AKILI AMUULIZE BOSI WA TAKUKURU KWANINI WANAOGOPA KUFUATILIA HILI? RUSHWA ILITOLEWA MTU AKACHUKUA VYETI! CANT THEY SEE IT?
 
Mmeona mmechuniwa mmeanza kujistukia...nendeni Mahakamani kama mnaona kafanya kosa la jinai...si mnao ushahidi na Gwajima anavyo vyeti mshirikiana na wanasheria wenu wasomi....
Siyo mmeuchuna bali mnatetemeka kwa woga, hasira, chuki, jakamoyo, huzuni, mawazo, sononi, mawaa, sintofahamu, keshoyanani na mengine mengi yasoelezeka. Badilikeni na muache ubashite! Wanashishiemu wakubwa ninyi! [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Pelekeni malalamiko sasa ili serikali ichukue hatua...pia mmpeleke vielelezo viisaidie Serikali
tupeleke wapi we subiri bunge lianze ngoma inaamshwa upya na ushahidi huyu ni mwizi tu wa taaluma wenzake wakati wanasoma yeye analala
 
Suala la Makonda lipo wazi sana,is ipo kuwaona vyombu hesitate vimeamua kulifumbia macho.
Wale waliosoma pamba sec (evening class) miaka aliyosoma Makonda wanamfahamu kwa jana la Daudi.
Safari hii mpaka kieleweke!!
Mbona hawajitokezi? Schoolmates na Classmates wa Pamba Secondary jitokezeni, hata waalimu hakuna?
 
Ccm wenye vyeti sahihi hawafiki asilimia 10 ndio maana hakuna aliyejitokeza kumtaka Bashite akanushe hizi tuhuma dhidi yake, maana kwa kufanya hivyo watakiabisha chama
Haya mambo ni ya kawaida UVCCM, kule Arusha mwenyekiti wao wa UVCCM alikuwa na kitambulisho feki cha uafisa usalama wa taifa. Hiki chama ni hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom