sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Ni wiki tunaelekea mwezi sasa tangu agenda ya vyeti ianze kwa nguvu baada ya kupungua nguvu kwa agenda ya Vita ya madawa ya kulevya.
Bnafis sikuwa tujadili wara kuchangia agenda hii kwa sababu ukweli siujui km kweli mkuu Wa mkoa Wa DAr anatumia majina ya mtu.
Kwa kweli mpka sasa bado mjadara haujaisha au haujafungwa kwani mpka Leo anae lengwa hajajitokeza rasmi kuzungumza Na wanahabar dhidi ya ili tatzo.
Kwa walebtuliopo nje ya DAR tulizoea kumuona huyu bwan kweny TV akizungumzia masuala mbalnbali.
Leo Na kbla hajazumgumza mimi natoa rai kwa viongozi Wa ccm kuchunguza vyeti vya vijana wte waliopo kweny umoja Wa vijana ccm.
Nina sababu nyingi Sanaa ila moja Na kubwa ni kuwa vijana walio jiunga Na ccm miaka miwili Na wakat Wa nyuma wte walikuwa vilaza Na wengi wao walifeli masomo yao uko walikokuwa.
Nina omba wte wachunguzwe maana çcm lilikuwa genge la vijana vilaza Na kundi la walanguzi
Asante broo Magu wanyoooshe