Kama kwenu ni chunya unajisikiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kwenu ni chunya unajisikiaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by semako, Dec 8, 2011.

 1. s

  semako Senior Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu fikiria mwaka 2000 Njelu Kasaka (MB) enzi hizo alikuja shuleni CHUSECO akasema barabara ya chunya mbeya itajengwa kwa rami mara moja.sasa wewe mkaz wa chunya na mpenda maendeleo ubabaishaji huu utaendelea mpaka lini?Leo mchina amejaza uchafu barabarani,nauli juu,jamani wakaz wa chunya hayo sio maisha hiyo barabara inasubiri uchaguzi 2015.Chukua hatua
   
 2. Nkwesa Makambo

  Nkwesa Makambo JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 4,765
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Huko si ndiyo mli mpopoa mkuu wa nchi ? mtaipata fresh...
   
 3. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  ile bara bara cjui itawekwa lami lini mi naona miaka inazidi kwenda tuu hakuna kinachofanyika porojo nyingi utekelezaji hakuna.
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  hama huko njaa mjini mbeya tule raha wewe
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Usiseme Chunya we sema kama wewe ni mtanzania unajisikiaje kuitwa Mtanzania hasa baada ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika,usisahau kesho utakuwepo pale uwanjani ukishangilia ngoma na kuangalia gwaride
   
Loading...