Kuna uelewa ambao upo kwa miongoni mwa wananchi wengi duniani kwamba wizi ni asili na ni kitu ambacho mtu anarithi kutoka kwa vizazi vilivyopita
kama kweli kuna ukweli ndani yake hivyo ?
1. Serikali ya awamu ya Tano imetuonyesha kuwa asimilia kubwa ya watanzania sio waaminifu kwenye mali na ni wezi.
2. Simamisha simamisha na fukuza fukuza sio suluhisho la ufisadi sababu ni jambo ambalo liko kwenye damu unatoa mwizi unaweka mwizi.
3.Suluhisho la wizi ni kuwa na katiba yenye meno na inayong'ata kama mfano China,sio simamisha au fukuza.
4 .SWALI. Kuna haja ya kuendelea kufurahia utumbuaji, simamisha na fukuza au Tupiganie katiba Mpya.?