kama kweli we dereva litoe hapo....

Aliyelijengea hapo hakutaka litolewe. Dereva mzuri utaheshimu matakwa yake.
 
Kulitoa kwa kuendesha haiwezekani labda kuliburuza kwa kamba.
 
Kwanza natoa hiyo spare tail ya nyuma!
Naingia kama dreva kwelikweli, naiwasha gari "nachekecha" huwa 2naita "kata kubwa"kama anayekata kona lazima utapata upenyo na gari itatoka!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…