Kama kweli wapinzani wanakwamisha maendeleo bora ibaki chama kimoja tu CCM

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,050
2,000
Hapo vip!!

Essay embu naombeni mniposomo kwasabababu binafsi nimeshindwa kuelewa wapinzani wanahusishwa vip na kukwamisha maendeleo.

Kwasababu naona awamu hii inawachukulia wapinzani kama maadui ,wakati wapinzani kazi yao nikuongea katika kukosoa mapungufu katika miradi mbalimbali ya maendeleo yanayoandaliwa na kutekelezwa ili iwe katika ubora zaidi.

Hivi mpinzani anaweza kuzuiya project mbalimbali za serikali?na kama anaweza ni kivipi? labda mimi ndio sielewi.

Binfsi mimi nawachukulia wapinzani kama projects eveluators na si wakwamishaji wa maendeleo na inavyotafsiria katika hii awamu ya tano.

Wadau naombe embu mnielimishe juu ya hili and kama kunaukweli bas nchi hii iwe ya chama kimoja.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,369

Wanawakosesha usingizi watawala hivyo wa na kuwa hawana muda wa kupanga maendeleo. Wema: Peace of mind.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom