Kama kweli wapinzani wanataka mabadiliko basi lazima wawe ndani ya serikali ya CCM

Safuha

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,551
2,000
Wakuu habarini za Muda.
Moja kwa mojaaaa ni hivi:

Ninachokisema kwamba suala la mabadiliko wanayoyataka watu wa upinzani kuhusu utawala wa CCM ni kwamba hawawezi kuleta mabadiliko kirahisi kama watu wanavyofikiria.

Yawe mabadiliko ya chama: yaani kitawale chama kingine kinyume na CCM madarakani,hili jambo sio rahisi na hata wao wapiga debe wanajua ni jambo gumu kama haliwezekani kabisa,dunia inaenda hii tokea mfumo wa vyama vingi uanze kwamba watu hawajaamka tu?.

Au yawe mabadiliko ya mfumo wa utawala ambao wanaamini serikali ya CCM ndiyo chanzo cha utawala mbovu,hakuna maendeleo makuuuuubwaaaa,hili pia haliwezekani ikiwa watu wanandoto ya kufanya mabadiliko nje ya serikali ya CCM.

Nilishasema kwamba ni jambo gumu kama sio haliwezekanii,chama kingine kushika madaraka ya juu (Urais)na sidhani kama itakuja kutokea.

Sasa ikiwa wewe kweli ni mwanaharakati basi JIUNGE NA CCM ukishajiunga utakuwa ndani ya serikali tawala ambayo inamamlaka makubwa,baada ya hapo sasa mtagombea nafasi mbali mbaliii ukiwa bado mwana CCM mpaka siku za mbele atakuja kupatikana Rais ambaye alitoka chama cha upinzani.

Ukiwaza kwamba serikali ya ccm haiwezi kumpa urais mtu ambaye asili yake katoka upinzani,basi uwaze pia kwamba jee watakubali kumpa urais yule aliyekuwepo katika chama cha upinzani kabisa?

Utakuja kujua kwamba njia ambayo inaleta matumaini kidogo ni hiyo ya kuhamia CCM tu na sio nyingine.

Ikiwa kama kweli watu wanania ya kuibadili Nchi Iwe katika mfumo mzuri vipi sasa wanaotaka kuibadili nchi waone tabu kuingia katika njia ambayo ndiyo raisi sana kufikia katika usukani wa mabadiliko(CCM)?

NDIYO maana watu wenye akili wanahama vyama kwa sababu vya pinzani vina mgongano haviwezi kusimama imara kama CCM.

Kumbuka CCM ni moja tu,mtu hata kama hakumpenda kiongozi ambaye kasimamishwa na CCm katika awamu fulani basi ataipigia kura CCM kwa sababu ni moja tu,ila upinzani sasa.

Alafu inakuwaje upannzani unakuwa ni vyama vingi? Ukiona kuna upinzani zaidi ya chama kimoja basi jua kwamba hata wao wapinzani wenyewe kwa wenyewe wanapingana,jambo ambalo itakuwa ngumu kumpinga mwenyewe.ili tuone kama wapinzani kweli kisimame kitu kimoja .

RAIA 100 vyama vitatu.CCM akichukua asilimia 40% tu,Upinzani A na B watangawana iliyobaki.sasa utaona kwamba wapinzani wana kazi kubwa ifuatayo.

Kwanza wanakazi Ya kushinfdana wenyewe kwa wenyewe ili aibuke mpinzani mmoja tu ambaye ataweza kuiangusha CCM.

Pili wanakazi ya kushindana na CCM ambao ndiyo huibuka kinara katika nyadhifa za juu kila MWAKA.

Haoa ndipo shida inapokuja.watu wenye akili wanahamia CCM wakati huo upinzani uchwara wamebaki katika upinzani.

Mpinzani aliyehamia CCM hana kszi ngumu kama yule mpinzani ambaye yuko katika chama chake.

Nendeni mkajazane huko CCM mchukue madaraka.

Ni sawa kwamba mnataka kuvamia ngome ya maadui na kuuwa watu wa humo kisha muiteke ngome hiyo.

Unadhani kubaki nje tu mkipiga mawe ngome hiyo mtafanikiwa?

Mkipiga bomu mtabomoa ngome waakati huo ngome nayo mnaihitaji muiteke iwe chini yenu.

Lazima mutafute njia yeyote Muingime ndani mujue mazingira yakoje,wapi pa kujificha na vitu kama hivyo.

Wanachofanya wapinzani ni kutaka kuvamia na kurteka ngome(serikali)ya maadui(CCM) wakati bado wapo nje ya ngome hiyo.ni jambo haliwezekani.

NDIYO MANA SINA MUDA NA KUJIFANYA MPINZANI KABISA KWA SABABU NI PROPAGANDA.
 
kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,700
2,000
Kwanza tuangalie njia iliyotumika kuudhofisha upinzani, harafu ndo tuongeee
 
Omera Yawa

JF-Expert Member
May 5, 2016
935
1,000
CCM ni nyumbani wote mnakaribishwa wengi walikuwa na mawazo hayo hayo lakini walikichukulia poa chama hichi. Baada ya kuingia na kutambua malengo halisi ya chama ya kumkomboa mtanzania kutoka kwenye umaskini. Walifuta mawazo yao ya kijinga na kusadiki katika kweli na ndio maana mpaka kesho CCM haijawahi kutetereka na haitatokea iwe hivyo sababu tuna hazina ya wanachama wanaojielewa.

#DG
 
Safuha

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,551
2,000
Kwanza tuangalie njia iliyotumika kuudhofisha upinzani, harafu ndo tuongeee
Njia iliyotumika au zilizotumika?

Nadhani chama kina miaka mingi,kimepigwa na mishale mingi sana sidhani kama imetumia njia moja kuudhoofisha upinzani.

Ook ni zipi hiz0?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,119
2,000
Wakuu habarini za Muda.
Moja kwa mojaaaa ni hivi:

Ninachokisema kwamba suala la mabadiliko wanayoyataka watu wa upinzani kuhusu utawala wa CCM ni kwamba hawawezi kuleta mabadiliko kirahisi kama watu wanavyofikiria.

Yawe mabadiliko ya chama: yaani kitawale chama kingine kinyume na CCM madarakani,hili jambo sio rahisi na hata wao wapiga debe wanajua ni jambo gumu kama haliwezekani kabisa,dunia inaenda hii tokea mfumo wa vyama vingi uanze kwamba watu hawajaamka tu?.

Au yawe mabadiliko ya mfumo wa utawala ambao wanaamini serikali ya CCM ndiyo chanzo cha utawala mbovu,hakuna maendeleo makuuuuubwaaaa,hili pia haliwezekani ikiwa watu wanandoto ya kufanya mabadiliko nje ya serikali ya CCM.

Nilishasema kwamba ni jambo gumu kama sio haliwezekanii,chama kingine kushika madaraka ya juu (Urais)na sidhani kama itakuja kutokea.

Sasa ikiwa wewe kweli ni mwanaharakati basi JIUNGE NA CCM ukishajiunga utakuwa ndani ya serikali tawala ambayo inamamlaka makubwa,baada ya hapo sasa mtagombea nafasi mbali mbaliii ukiwa bado mwana CCM mpaka siku za mbele atakuja kupatikana Rais ambaye alitoka chama cha upinzani.

Ukiwaza kwamba serikali ya ccm haiwezi kumpa urais mtu ambaye asili yake katoka upinzani,basi uwaze pia kwamba jee watakubali kumpa urais yule aliyekuwepo katika chama cha upinzani kabisa?

Utakuja kujua kwamba njia ambayo inaleta matumaini kidogo ni hiyo ya kuhamia CCM tu na sio nyingine.

Ikiwa kama kweli watu wanania ya kuibadili Nchi Iwe katika mfumo mzuri vipi sasa wanaotaka kuibadili nchi waone tabu kuingia katika njia ambayo ndiyo raisi sana kufikia katika usukani wa mabadiliko(CCM)?

NDIYO maana watu wenye akili wanahama vyama kwa sababu vya pinzani vina mgongano haviwezi kusimama imara kama CCM.

Kumbuka CCM ni moja tu,mtu hata kama hakumpenda kiongozi ambaye kasimamishwa na CCm katika awamu fulani basi ataipigia kura CCM kwa sababu ni moja tu,ila upinzani sasa.

Alafu inakuwaje upannzani unakuwa ni vyama vingi? Ukiona kuna upinzani zaidi ya chama kimoja basi jua kwamba hata wao wapinzani wenyewe kwa wenyewe wanapingana,jambo ambalo itakuwa ngumu kumpinga mwenyewe.ili tuone kama wapinzani kweli kisimame kitu kimoja .

RAIA 100 vyama vitatu.CCM akichukua asilimia 40% tu,Upinzani A na B watangawana iliyobaki.sasa utaona kwamba wapinzani wana kazi kubwa ifuatayo.

Kwanza wanakazi Ya kushinfdana wenyewe kwa wenyewe ili aibuke mpinzani mmoja tu ambaye ataweza kuiangusha CCM.

Pili wanakazi ya kushindana na CCM ambao ndiyo huibuka kinara katika nyadhifa za juu kila MWAKA.

Haoa ndipo shida inapokuja.watu wenye akili wanahamia CCM wakati huo upinzani uchwara wamebaki katika upinzani.

Mpinzani aliyehamia CCM hana kszi ngumu kama yule mpinzani ambaye yuko katika chama chake.

Nendeni mkajazane huko CCM mchukue madaraka.

Ni sawa kwamba mnataka kuvamia ngome ya maadui na kuuwa watu wa humo kisha muiteke ngome hiyo.

Unadhani kubaki nje tu mkipiga mawe ngome hiyo mtafanikiwa?

Mkipiga bomu mtabomoa ngome waakati huo ngome nayo mnaihitaji muiteke iwe chini yenu.

Lazima mutafute njia yeyote Muingime ndani mujue mazingira yakoje,wapi pa kujificha na vitu kama hivyo.

Wanachofanya wapinzani ni kutaka kuvamia na kurteka ngome(serikali)ya maadui(CCM) wakati bado wapo nje ya ngome hiyo.ni jambo haliwezekani.

NDIYO MANA SINA MUDA NA KUJIFANYA MPINZANI KABISA KWA SABABU NI PROPAGANDA.
Mleta hoja huwazi vizuri !! Kuanzia 1962 mpaka 1992 tulikuwa wote ndani chama kimoja tena sote tukiwa wamoja na wazalendo wa kweli. Lakini maendeleo na mabadiliko hatukuyaona. Leo unataka turudi nyuma hatua elfu !!!

Umesema CCM haiwezi kukubali kuachia madaraka kwa amani, hata kama watashindwa !!! Sasa hapo nani wenye matatizo CCM au wapinzani ?!. Uchaguzi wa 2015 umeonyesha wananchi wako tayari kwa mabadiliko sema katiba na tume ya uchaguzi ni mbovu.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,119
2,000
Itenge na Dola uone kama kweli no imara. Wanatumia privileged ya kutumia vyombo vya dola.
CCM ni nyumbani wote mnakaribishwa wengi walikuwa na mawazo hayo hayo lakini walikichukulia poa chama hichi. Baada ya kuingia na kutambua malengo halisi ya chama ya kumkomboa mtanzania kutoka kwenye umaskini. Walifuta mawazo yao ya kijinga na kusadiki katika kweli na ndio maana mpaka kesho CCM haijawahi kutetereka na haitatokea iwe hivyo sababu tuna hazina ya wanachama wanaojielewa.

#DG
 
Safuha

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,551
2,000
Mleta hoja huwazi vizuri !! Kuanzia 1962 mpaka 1992 tulikuwa wote ndani chama kimoja tena sote tukiwa wamoja na wazalendo wa kweli. Lakini maendeleo na mabadiliko hatukuyaona. Leo unataka turudi nyuma hatua elfu !!!

Umesema CCM haiwezi kukubali kuachia madaraka kwa amani, hata kama watashindwa !!! Sasa hapo nani wenye matatizo CCM au wapinzani ?!. Uchaguzi wa 2015 umeonyesha wananchi wako tayari kwa mabadiliko sema katiba na tume ya uchaguzi ni mbovu.
Wapi nimesema CCM hawawezi kuachia madaraka kwa amani?
 
Safuha

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,551
2,000
Itenge na Dola uone kama kweli no imara. Wanatumia privileged ya kutumia vyombo vya dola.
Inatengaje kwa mfano?
Itawezekana hiyo ikiwa wapinzani wanaisusia CCM wakati wenzo wakijiimarisha kidola?
Si ndo ilibidi waingiee nao waone watu wanajiimarisha vipi?

Au wamesahau kwamba njia ya kuiba ujuzi wa mtu ukae naee umjuee anafanyaje kisha ndo unasepa baada ya kujua?
 
Zillion

JF-Expert Member
May 15, 2017
1,019
2,000
Wakuu habarini za Muda.
Moja kwa mojaaaa ni hivi:

Ninachokisema kwamba suala la mabadiliko wanayoyataka watu wa upinzani kuhusu utawala wa CCM ni kwamba hawawezi kuleta mabadiliko kirahisi kama watu wanavyofikiria.

Yawe mabadiliko ya chama: yaani kitawale chama kingine kinyume na CCM madarakani,hili jambo sio rahisi na hata wao wapiga debe wanajua ni jambo gumu kama haliwezekani kabisa,dunia inaenda hii tokea mfumo wa vyama vingi uanze kwamba watu hawajaamka tu?.

Au yawe mabadiliko ya mfumo wa utawala ambao wanaamini serikali ya CCM ndiyo chanzo cha utawala mbovu,hakuna maendeleo makuuuuubwaaaa,hili pia haliwezekani ikiwa watu wanandoto ya kufanya mabadiliko nje ya serikali ya CCM.

Nilishasema kwamba ni jambo gumu kama sio haliwezekanii,chama kingine kushika madaraka ya juu (Urais)na sidhani kama itakuja kutokea.

Sasa ikiwa wewe kweli ni mwanaharakati basi JIUNGE NA CCM ukishajiunga utakuwa ndani ya serikali tawala ambayo inamamlaka makubwa,baada ya hapo sasa mtagombea nafasi mbali mbaliii ukiwa bado mwana CCM mpaka siku za mbele atakuja kupatikana Rais ambaye alitoka chama cha upinzani.

Ukiwaza kwamba serikali ya ccm haiwezi kumpa urais mtu ambaye asili yake katoka upinzani,basi uwaze pia kwamba jee watakubali kumpa urais yule aliyekuwepo katika chama cha upinzani kabisa?

Utakuja kujua kwamba njia ambayo inaleta matumaini kidogo ni hiyo ya kuhamia CCM tu na sio nyingine.

Ikiwa kama kweli watu wanania ya kuibadili Nchi Iwe katika mfumo mzuri vipi sasa wanaotaka kuibadili nchi waone tabu kuingia katika njia ambayo ndiyo raisi sana kufikia katika usukani wa mabadiliko(CCM)?

NDIYO maana watu wenye akili wanahama vyama kwa sababu vya pinzani vina mgongano haviwezi kusimama imara kama CCM.

Kumbuka CCM ni moja tu,mtu hata kama hakumpenda kiongozi ambaye kasimamishwa na CCm katika awamu fulani basi ataipigia kura CCM kwa sababu ni moja tu,ila upinzani sasa.

Alafu inakuwaje upannzani unakuwa ni vyama vingi? Ukiona kuna upinzani zaidi ya chama kimoja basi jua kwamba hata wao wapinzani wenyewe kwa wenyewe wanapingana,jambo ambalo itakuwa ngumu kumpinga mwenyewe.ili tuone kama wapinzani kweli kisimame kitu kimoja .

RAIA 100 vyama vitatu.CCM akichukua asilimia 40% tu,Upinzani A na B watangawana iliyobaki.sasa utaona kwamba wapinzani wana kazi kubwa ifuatayo.

Kwanza wanakazi Ya kushinfdana wenyewe kwa wenyewe ili aibuke mpinzani mmoja tu ambaye ataweza kuiangusha CCM.

Pili wanakazi ya kushindana na CCM ambao ndiyo huibuka kinara katika nyadhifa za juu kila MWAKA.

Haoa ndipo shida inapokuja.watu wenye akili wanahamia CCM wakati huo upinzani uchwara wamebaki katika upinzani.

Mpinzani aliyehamia CCM hana kszi ngumu kama yule mpinzani ambaye yuko katika chama chake.

Nendeni mkajazane huko CCM mchukue madaraka.

Ni sawa kwamba mnataka kuvamia ngome ya maadui na kuuwa watu wa humo kisha muiteke ngome hiyo.

Unadhani kubaki nje tu mkipiga mawe ngome hiyo mtafanikiwa?

Mkipiga bomu mtabomoa ngome waakati huo ngome nayo mnaihitaji muiteke iwe chini yenu.

Lazima mutafute njia yeyote Muingime ndani mujue mazingira yakoje,wapi pa kujificha na vitu kama hivyo.

Wanachofanya wapinzani ni kutaka kuvamia na kurteka ngome(serikali)ya maadui(CCM) wakati bado wapo nje ya ngome hiyo.ni jambo haliwezekani.

NDIYO MANA SINA MUDA NA KUJIFANYA MPINZANI KABISA KWA SABABU NI PROPAGANDA.
Aliyekutuma mwambie akufundishe na kuandika basi..
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
5,035

Unachosema ni ukweli mtupu.
Vyama vya upinzani vyote vina wenyeviti makada wa CCM waliopo kwa ajili ya maslahi ya CCM .
Wanajifanya kuipinga kwa midomo mchana lakini matendo yao ndio yanayoipa CCM nguvu.
Mfano tu wenyeviti wote ni wa kudumu na wamesababisha migogoro mingi sana ndani ya hivyo vyama kwa sababu ya kungangania madaraka.

Na tatizo la Wapinzani ni kupigana majungu na kutengenezeana Propaganda za kumalizana wenyewe kwa wenyewe.
Hii inasababisha na kukosa makada waliosomea siasa na Propaganda.
Wapinzani wanawajengea Fitina wale waliotokea CCM bila kujua kuwa Bila CCM kugawanyika na wakatoke wagombea imara kutoka CCM suala la Wapinzani kushinda uchaguzi ni ndoto.
Ni lazima watokee makada ndani ya CCM wasiopungua 40 wenye nguvu kubwa na uwezo mkubwa wa Kisiasa kama alivyokuwa marehemu Tambwe Hiza.

Wapinzani hawazijui Siasa za Tanzania kabisa . Ni watu wanaotegemea siasa za huruma na za nchi zenye demokrasia kubwa sana.

Siasa za Tanzania ni za kijanja sana. Walioko CCM wanajua namna ya kucheza nazo.
 
Mkuu bado hawajashtuka na kama wameshtuka basi nao wanatetea matumbo yao tu.

Kila mmoja anaona abakie hapo.
 
Safuha

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,551
2,000
Wewe mkurugenzi, ukimtangaza mpinzani, ujue huna kazi. Haiwezekani nikupe ukurugenzi harafu umutangaze mupinzani.
Sasa huoni kama chama kimehizatiti?

Kubakia upinzani bila kuingia huko itasaidia kuondoa sheria hiyo kama ipo kweli?

Chukulia mfano tu hapo mtangazaji ametoka upinzani ila wakajisahahu wakampa nyadhifa hiyo wakati moyoni ana damu ya upinzani,unadhani atashindwa kutangaza kisa kutetea tumbo wakati anajua akiingia wa upinzani anakula shavu nayeye?

Wanasiasa wanaojiita wa upinzani ni wajinga sana.ndo mana watu wanakimbia upinzani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom