M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Jan 27, 2015 #2 Jamani hilo ni tumbo au pakacha duuuu ama kweli mwanaume wa shoka
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 361 Jan 27, 2015 #3 Mshana mbona huyo jamaa mnafanana sana? Yaan kwa sura na matendo au ndiwe?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Jan 27, 2015 Thread starter #4 kigoda said: Mshana mbona huyo jamaa mnafanana sana? Yaan kwa sura na matendo au ndiwe? Click to expand... Hahahahaaaa kigoda bwana ngoja nimalize kinywaji changu niende home nikajitazame kwenye kioo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kigoda said: Mshana mbona huyo jamaa mnafanana sana? Yaan kwa sura na matendo au ndiwe? Click to expand... Hahahahaaaa kigoda bwana ngoja nimalize kinywaji changu niende home nikajitazame kwenye kioo