Kama kweli novena na albadili vinanguvu kwanini visitumike kuitoa ccm kwenye madaraka,kuondoa mafisadi,nk?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika?

Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk.

Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na kuishi maisha ya shida kwanini wasifinge hiyo novena au kusoma alibadili wawe salama?

Ujinga ukizidi huwa dhambi!!
 
Kuhusu novena..
Press ya mwisho ya slowslow ni jibu pia
 
Utapeli ulio katika mfumo wa Imani Huwa Haina nguvu, nje ya vitisho vya kukupa hofu.
 
Maombi-Imani-Matendo, ukiamini ulichoomba unaenda kuitoa sa CCM, uliyemuomba ataitoa CCM kupitia wewe. Aliyeombwa ni spiritual being.
 
Na mimi najiuliza hivyo hivyo, kwanini mtu kama Rostam asisomewe albadir ama Novena?
 
WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika?

Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk.

Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na kuishi maisha ya shida kwanini wasifinge hiyo novena au kusoma alibadili wawe salama?

Ujinga ukizidi huwa dhambi!!
Mwandiko wa mtu unaweza kumtambulisha kiwango chake cha elimu na uelewa wa mambo mengi ya msingi
 
Unaijua novena inatumikaji mjuba? Hebu kuwa na akili za kufikiri mambo kwa kina
 
WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika?

Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk.

Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na kuishi maisha ya shida kwanini wasifinge hiyo novena au kusoma alibadili wawe salama?

Ujinga ukizidi huwa dhambi!!
Na ni kwanini hizo novena na albadiri zinasomwa tu wakati tunapotaka kumlaani mtu, kwanini zisisomwe pia kuponya wagonjwa mahospitalini ili hospitali zibaki tupu?
Mi naona hayo yangekua matumizi bora zaidi ya novena na albadir
 
Ni kweli kabisa
 
Hao unaambiwa wanatumia mbinu zote yani wana genge la kuteka watu, wanatumia uchawi na vitu vya sirini sijui. Watanzania wakiungana ndio wanaweza kuwatoa sio mtu mmoja mmoja lakini dalili njema zimeanza kuonekana
 
Imani inaweza kuondoa mlima,ila wew Huna imani hiyo kwahiyo mlima hauwezi kuondoka inaonekana upto wake wa kuelewa mambo ya kiimani ni mdogo sana na post yako nikama kuiponda novera na albadili hivyo keako hata ikifanyika haiwezi kufanya chochote
 
Back
Top Bottom