kama kweli kitwanga alilewa bajeti yake itakubalika au inakuwa void?

sibusiso dlomo

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
690
384
habari wandugu
leo katika soma soma zangu nikakutana na article moja ambayo inaongelea pombe.kwamba pombe inakufanya kuwa na maamuzi mabaya,kutokuwa na maamuzi ya busara..sasa kama mh Kitwanga kweli alikunywa bajeti yake itakubalika?au bajeti itarudiwa kujadiliwa
though siamini kila mnywaji ana maamuzi mabaya maana hata mimi nakunywa
 
Mkuu nilikuwa sijafikiria kiasi hicho, hebu ngoja niupandishe juu huu uzi ili ujadiliwe kwa kina
 
habari wandugu
leo katika soma soma zangu nikakutana na article moja ambayo inaongelea pombe.kwamba pombe inakufanya kuwa na maamuzi mabaya,kutokuwa na maamuzi ya busara..sasa kama mh Kitwanga kweli alikunywa bajeti yake itakubalika?au bajeti itarudiwa kujadiliwa
though siamini kila mnywaji ana maamuzi mabaya maana hata mimi nakunywa

Ngoja walao nikuonee huruma nichangie katika uzi wako. Yaani wewe ndio basi tena, yaani hata hujui mambo yanavyokwenda, ingekuwa zamani tungekuita 'Zimbukuku ulimwengu uko huku'. Sasa kipindi cha maswali na majibu kinahusianaje na bajeti?
 
aahh ahaaa ahaaa
 
Swali moja tu la maana hapo!:LUGUMI itaendelea ama ndiyo kwisha habari yake?!
 
Ngoja walao nikuonee huruma nichangie katika uzi wako. Yaani wewe ndio basi tena, yaani hata hujui mambo yanavyokwenda, ingekuwa zamani tungekuita 'Zimbukuku ulimwengu uko huku'. Sasa kipindi cha maswali na majibu kinahusianaje na bajeti?
Yaani kwa sababu waziri alilewa na bajeti yake na yenyewe ililewa!!!. Hatari sana, tatizo letu ni kubwa kuliko muonekano wa nje.
 
Waziri wa mambo ya ndani ndo anapanga bajeti ya nchi we ngumbaru?
 
Tangu waziri Kitwanga alewe kumekuwa na maswali mengi sana ya kufikirisha. Kwa kuwa atakabidhi ofisi waziri atakaye chukua dhamana anatakiwa kuhakiki bajeti upya iliasije ingia mkenge.
 
Back
Top Bottom