Kama Kweli Kikwete Ni Mzalendo, Do This..................

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Hii kitu nimeipata kwenye uzi uliowekwa na Maggid Mjengwa:

Kama Kikwete atafuata ushauri huu maridhawa, basi nitafuta signature yangu. Vinginevyo bora nife tu, sibadilishi mpaka tupate Rais mwingine.

".......Kama tuna dhamira za kweli za kuviandalia vizazi vijavyo mazingira mazuri ya kuishi, kuifurahia na kujivunia nchi yao, basi, tuna lazima ya kuandaa mazingira ya kuwapo kwa Mkutano wa Kitaifa wa Katiba. Mkutano utakaojumuisha viongozi wa makundi yote ya jamii hii. Hapo yaandaliwe mazingira ya kuandikwa kwa Katiba mpya itakayokuwa na maslahi kwa Watanzania walio wengi, na kwa miaka mingi ijayo....."


 

marshal

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
353
153
Katiba ndio kitu cha msingi katika nchi yetu!kama kikwete anaipenda nchi hii basi awe wa kwanza kusimama na kuomba Raisi apunguziwe madaraka!Raisi itafikia kipindi anateua hata katibu tarafa maana kila kona kila director kateuliwa na raisi mkuu wa wilaya!Hii ni hatari kama nchi hii itakuja kupata Rais kama Mobutu sese seko!
 

Lubaluka

JF-Expert Member
May 18, 2009
496
44
Mkuu,
Huo ushauri wako ni mgumu sana kwa JK & Co. na kwao ni fumbo lisilo na jibu bado.......
 

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
132
Katiba ndio kitu cha msingi katika nchi yetu!kama kikwete anaipenda nchi hii basi awe wa kwanza kusimama na kuomba Raisi apunguziwe madaraka!Raisi itafikia kipindi anateua hata katibu tarafa maana kila kona kila director kateuliwa na raisi mkuu wa wilaya!Hii ni hatari kama nchi hii itakuja kupata Rais kama Mobutu sese seko!

Je unategemea ng'ombe dume akamuliwe maziwa? Sahau kabisa hili kutoka kwa JK.
 

shanature

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
971
377
ahhaaaa haaaaaa kaka usijisumbue kumshinikiza afanye,hujui kama yeye ni mmmm(bbbb){uuuuu} asiye mzalendo,wajinga wengi ndooo waliomchagua na wajinga haooo au werevu hao hawaoni wala kusikia kuhusu katiba mpya,hujui kuna watu waliokuwa wameevaakijani kumshabikia kwenye mikutano ya kampeni na hawajui anazungumza nini japoa ni hotuba ya kiswahili,bado,turudi vijijini tuwaelimishe ndugu zetu hawana taaluma:nono::bowl:
 

sensa

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
397
20
Kwa kichwa chake unafikiri ataelewa?ye anajua ngoma na mengineyo yaleee.Hivi kwa nini tusi-adapt mfumo wa kuwachagua wawakilisha wenye akili timamu kama wabunge hivi ndio wakamchagua rais,haya mambo ya ccm kutumia mtaji wa ujinga hatutayashinda.Kazi yao kubwa ni kuuendeleza ujinga kwani ndio ngazi yao. Manake asilimia kubwa sana ya watz ni wajinga hata uhubiri maendeleo,au wao kunyimwa haki hawakuelewi.
 

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
91
Do you think he cares about Tanzanians??
CCM do not give a damn about Tanzanians,
All they cares is to remain in power at any cost, if they have to sell Serengeti or Indian ocean as long as they remain in power they will be more than happy to do that.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom