Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Hii kitu nimeipata kwenye uzi uliowekwa na Maggid Mjengwa:
Kama Kikwete atafuata ushauri huu maridhawa, basi nitafuta signature yangu. Vinginevyo bora nife tu, sibadilishi mpaka tupate Rais mwingine.
".......Kama tuna dhamira za kweli za kuviandalia vizazi vijavyo mazingira mazuri ya kuishi, kuifurahia na kujivunia nchi yao, basi, tuna lazima ya kuandaa mazingira ya kuwapo kwa Mkutano wa Kitaifa wa Katiba. Mkutano utakaojumuisha viongozi wa makundi yote ya jamii hii. Hapo yaandaliwe mazingira ya kuandikwa kwa Katiba mpya itakayokuwa na maslahi kwa Watanzania walio wengi, na kwa miaka mingi ijayo....."