Kama kuna ukweli vile!jamani maisha haya!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
uploadfromtaptalk1355404541599.jpg
Wanaume na wanawake kabla na baada ya kuoa/kuolewa.
 
Hahahaha ni balaa mkuu unapigishwa timbwili kinoma
Si unamuona mshikaji jogoo hapo juu,kabla hajaoa alikuwa sharo kinoma lakini baada ya kuoa amekosa hata fwedha ya kubadili viwalo,nguo zote raru raru!
 
Hapo kwa wanaume kabla/baada ya kuoa nina wasiwasi! Nadhani matokeo ni kinyume! Kwa sabab ukishaoa majukumu yanapungua! Mfano ulikuwa unapika, sasa unapikiwa, n.k.
 
Hapo kwa wanaume kabla/baada ya kuoa nina wasiwasi! Nadhani matokeo ni kinyume! Kwa sabab ukishaoa majukumu yanapungua! Mfano ulikuwa unapika, sasa unapikiwa, n.k.
Yes,kwa baadhi huwa hivyo,but percent kubwa furaha ndani ya ndoa ni miezi miwili tu ya kwanza,baada ya hapo ni timbwili juu ya timbwili ndani ya nyumba.
 
Back
Top Bottom