Mi nimwanafunzi wa mwaka wa pili wa udaktari
Nlikuwa naomba kama kunamtu yoyote anajua organisation au watu wanao fanya sponsorship au scholarship za masomo hapa Tanzania anisaidie...
Manaake adi imebidi ni postpone mwaka mzima kwasababu nimekosa ada.. please naomba usaidizi.
Sawa,,,ushauri wangu jaribu kwenda kwenye taasisi za dini kulingana na dini yako,huwa wanafadhili sana wasiokua na uwezo kimasomo,,,,,mfano kama ni Muslim nenda makao makuu ya bakwata etc
Weka aibu chini, ambatanisha nyaraka zako zenye matokeo na vielelezo vya chuo, na andika barua kuomba ufadhili wa ada jumuiya ya madola,unesco,worldbank n.k