Kama kuna organisation au watu wanao fanya sponsorship au scholarship za masomo hapa Tanzania anisaidie...

Ma mee

Member
May 20, 2021
38
52
Mi nimwanafunzi wa mwaka wa pili wa udaktari
Nlikuwa naomba kama kunamtu yoyote anajua organisation au watu wanao fanya sponsorship au scholarship za masomo hapa Tanzania anisaidie...

Manaake adi imebidi ni postpone mwaka mzima kwasababu nimekosa ada.. please naomba usaidizi.
 
Pole sanaa ndugu.vip hujawajaribu heslb? au ni diploma.jaribu kwenda kwa diwani wako umuelezee tatzo
 
Unasoma chuo gani..?level gani kama ni dip au degree ili watu wajue namna yakusaidia
 
Em badilisha jukwaa kama hutojali kaweke chapisho hili kule jukwaa la hoja na habari mchanganyiko
 
Ni level ya degree na chuo ni kairuki

Sawa,,,ushauri wangu jaribu kwenda kwenye taasisi za dini kulingana na dini yako,huwa wanafadhili sana wasiokua na uwezo kimasomo,,,,,mfano kama ni Muslim nenda makao makuu ya bakwata etc
 
Weka aibu chini, ambatanisha nyaraka zako zenye matokeo na vielelezo vya chuo, na andika barua kuomba ufadhili wa ada jumuiya ya madola,unesco,worldbank n.k
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom