mlogolaje
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 1,509
- 813
Wakuu poleni na majukumu ya kuwa mzima,
Napenda kushauri kama kuna mwanamke upo nae na unatumia nguvu kubwa kumuweka kwenye himaya yako mwache huyo nguvu ikiisha ataondoka tu
nguvu ninayoisemea ni matumizi ya pesa nyingi, zawadi nyingi, ubabe na vitisho mf kumwambia ukiniacha nitakuua au nitajiua.
Mwanamke wa kweli ni yule ambae anakaa kwenye himaya yako pasina nguvu kubwa, vitisho nk bali kwa hiari na kukupenda kwa dhati.