Kama Kipimo cha Uadilifu CCM ni Katibu Mkuu Kinana

Kichumi

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
588
Reaction score
516
Jana nimemsikia Waziri Mkuu wa awamu ya tatu akisema nami nanukuu "...kama kipimo cha uadilifu ni Katibu mkuu wa CCM basi yeye ni Mtakatifu" mwisho wa kunukuu.

Kama ukiichunguza na kuitafakari kwa makini hiyo kauli inabeba maana kubwa sana ambayo sisi malofa lazima tuhakikishe tunaitia adabu ccm na makando kando yake hapo October 25.

Sumaye amekuwepo kwenye mfumo wa serikali kwa siku nyingi na bila shaka yoyote anajua kwa kina ni jinsi gani katibu mkuu huyo wa ccm Bwana Kinana alivyo mchafu.

Kazi ni kwetu malofa kama tutalirudisha tena hili jinamizi la ccm madarakani hapo october 25.
 
Sasa ninaanza kupata majibu ya ile meli ya Comrade Kinana iliyukuwa ikisafirisha zile shehena za Pembe za Tembo kutoka Tanzania na kuzipeleka nchi za Asia.
 
Z
9k=
JANGILI+LA+PEMBE+ZA+NDOVU+LANASWA+MWANZA+%2811%29.png
 
Hata mm Jana niliokuwa nimekaanao niliwambia hiyo kauli ya sumaye inamaana kubwa na imeficha mengi.Uzuri ni kuwa watz kwa sasa tunajitambua hatudanganyiki tena, ccm watatukoma mwaka huu
 
Weka kumbukumbu maneno Yako nani atakoma kati ya Wewe na CCM
 
Jana nimemsikia Waziri Mkuu wa awamu ya tatu akisema nami nanukuu "...kama kipimo cha uadilifu ni Katibu mkuu wa CCM basi yeye ni Mtakatifu" mwisho wa kunukuu.

Kama ukiichunguza na kuitafakari kwa makini hiyo kauli inabeba maana kubwa sana ambayo sisi malofa lazima tuhakikishe tunaitia adabu ccm na makando kando yake hapo October 25.

Sumaye amekuwepo kwenye mfumo wa serikali kwa siku nyingi na bila shaka yoyote anajua kwa kina ni jinsi gani katibu mkuu huyo wa ccm Bwana Kinana alivyo mchafu.

Kazi ni kwetu malofa kama tutalirudisha tena hili jinamizi la ccm madarakani hapo october 25.

Siku zote tunawakumbusha kuchukua matokeo yenu siku ikifika
 
Jana nimemsikia Waziri Mkuu wa awamu ya tatu akisema nami nanukuu "...kama kipimo cha uadilifu ni Katibu mkuu wa CCM basi yeye ni Mtakatifu" mwisho wa kunukuu.

Kama ukiichunguza na kuitafakari kwa makini hiyo kauli inabeba maana kubwa sana ambayo sisi malofa lazima tuhakikishe tunaitia adabu ccm na makando kando yake hapo October 25.

Sumaye amekuwepo kwenye mfumo wa serikali kwa siku nyingi na bila shaka yoyote anajua kwa kina ni jinsi gani katibu mkuu huyo wa ccm Bwana Kinana alivyo mchafu.

Kazi ni kwetu malofa kama tutalirudisha tena hili jinamizi la ccm madarakani hapo october 25.

Sumaye ni jembe,kaanika nyeti zote za kuku hadharani
 
Nimeisoma hotuba yote na kiukweli kabisa sijaona tofauti kubwa na hizo zote nilizowahi sikiliza, kwa mtazamo wangu mimi kama kijana mtanzania ningependa hoja zingeegemea zaidi kwenye lengo kuu la umoja wa UKAWA nalo ni utetezi wa Katiba iliyopendekezwa na tume ya jaji warioba 7b kinachotukwamisha siku zote ni sisi wananchi kuibana serikali na viongozi wake.
Sera zianzie kwenye serikali tatu na serikali ya CHADEMA itakavyoiwezesha HIYO katiba na sio kutujia na sera zilipendwa.
Mabadiliko niyatakayo ndio hayo.
 
Ingia kwenye website ya chadema acha kubwabwaja,kila kipo wazi,
 
Nimeisoma hotuba yote na kiukweli kabisa sijaona tofauti kubwa na hizo zote nilizowahi sikiliza, kwa mtazamo wangu mimi kama kijana mtanzania ningependa hoja zingeegemea zaidi kwenye lengo kuu la umoja wa UKAWA nalo ni utetezi wa Katiba iliyopendekezwa na tume ya jaji warioba 7b kinachotukwamisha siku zote ni sisi wananchi kuibana serikali na viongozi wake.
Sera zianzie kwenye serikali tatu na serikali ya CHADEMA itakavyoiwezesha HIYO katiba na sio kutujia na sera zilipendwa.
Mabadiliko niyatakayo ndio hayo.
Kuna ishu hujaielwa...katika Nchi hii ishu sio sera...Ishu ni utekelezaji!Kwani unadhani for almost 50 years CCM wamekuwa na sera mbovu?No!Zinatekelezwa?HAPANA!..UKAWA wameamua kufanya kwa vitendo!
 
utekelezaji unahitaji SOP. katiba ndiyo SOP ya nchi.
 
Back
Top Bottom