Kama Kipimo cha Uadilifu CCM ni Katibu Mkuu Kinana

Kama Kipimo cha Uadilifu CCM ni Katibu Mkuu Kinana

Kama kinana ni msafi,Mimi mwizi wa kuku ni mtakatifu
 
Hata mm Jana niliokuwa nimekaanao niliwambia hiyo kauli ya sumaye inamaana kubwa na imeficha mengi.Uzuri ni kuwa watz kwa sasa tunajitambua hatudanganyiki tena, ccm watatukoma mwaka huu

Siasa hizo! Unakumbuka Sumaye wakati anamponda Lowassa mpaka akasema akichaguliwa na Ccm basi atajitenga. Maneno ya Wanasiasa yachukulie kama Bongo Movies usivalie kibwebwe utaumbuka siku moja
 
kampuni ni yake ila mali ile haikuwa yake. ha ha ha ha

pale iringa central polisi kuna gari ilikamatwa na meno ya tembo toka mwaka 2007 likataifishwa mpaka leo lipo kwani ile meli ya kinana ipo wapi na kwa nini hakuwataja wenye ule mzigo tafakari chukua hatua October 25
 
Kinana na dentist ndio.ana maadili tu fisadi mkuu wa tanzania chenge ndio mwenywkit kamat ya maadili
 
Siasa hizo! Unakumbuka Sumaye wakati anamponda Lowassa mpaka akasema akichaguliwa na Ccm basi atajitenga. Maneno ya Wanasiasa yachukulie kama Bongo Movies usivalie kibwebwe utaumbuka siku moja

Hayo ni matokeo yenye faida upande wa ukawa so hayana ubaya.
 
Back
Top Bottom