Kama kiongozi ajajua umuhimu wa kujikinga na ukimwi ana haja gani ya kuongoza??-mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kiongozi ajajua umuhimu wa kujikinga na ukimwi ana haja gani ya kuongoza??-mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jun 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Hii natumaini serikali imewakumbusha mbali kwa kweli
  mh mbowe aliitoa hii majuzi wakati akilalama posho za serikali
  na kusema inasikitisha kuona jamani kila halmashauri unakokwenda
  unaambiwa ati mkurugenzi na watu wake kadhaa wameenda semina ya
  ukimwi semina semina hivi mpaka leo semina za ukimwi aziishi ukienda
  kwenye kukaua unakuta ameenda kwa mwaka zaidi ya mara 4 semina ya ukimwi jamani
  kama kweli mpaka leo kiongozi uujajua kujikinga na ukimwi aa madhara yake
  hata uende mara kumihutojua kamwe....nanukuu
  mh mbowe
  bigup kidume sijui ulikuwa wapi kipindi kile uko mjengoni
   
Loading...