Kama kila moja akiwajibika kwa nafasi yake kufanya usafi siku ya jumamosi tutafanya usafi gani?

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Kama kila mtu atatekeleza wajibu wake kufanya usafi, taasisi husika zitatekeleza wajibu wake wa kusimamia usafi kwaninitufanye usafi wa pamoja? Huo uchafu wa kusafisha siku za jumamosi kwa pamoja utatoka wapi? Tuendelee kutupa taka ovyo kwa ukosefu wa makopo/tin za kutupia taka stendi na mitaani tukisubiri kufanya usafi wa pamoja siku ya jumamosi? Wiki iliyopita nilikuwa kwenye moja ya stendi Morogoro, baada ya kumaliza kunywa maji nikaangaza huku na kule sikuona hata tin la kuwekea takataka. Nilimwuliza konda wapi nitatupa chupa la maji, "Akanambia wewe tupa hapa chini, chupa ya maji watu wataokota fasta".
 
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye moja ya stendi Morogoro, baada ya kumaliza kunywa maji nikaangaza huku na kule sikuona hata tin la kuwekea takataka. Nilimwuliza konda wapi nitatupa chupa la maji, "Akanambia wewe tupa hapa chini, chupa ya maji watu wataokota fasta".
 
Back
Top Bottom