Habari yangu' nzuri. Huna mtu nini? Wa kula nae mautamu
Saundisha huyo hadi aingilike
sina aisee... ngoja niangalie hapa anaeshangaa shangaa nimdake.
Huoni kwa msimamo wako wa biblia ukiwa na mimi utakuwa umempata mwumini wa kumpeleka mbinguni?
Kajibebee huyo hana company' ndio maana yumo humu anaangaika
Mwamini Bwana Yesu,nawe utaokoka pamoja na nyumba yako-Matendo ya mitume 16:31.
Hii ndiyo njia ya kwenda mbinguni mkuu Ousofia.
Yohana 14:6-Yesu akamwambia,Mimi ndimi njia,na kweli,na uzima.
Mtu haji kwa Baba,ila kwa njia ya mimi.
Karibu kwa Yesu tufurahie maisha pamoja.
Maisha ni zaidi ya zinaa.
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa,bali WAPUMBAVU hudharau hekima na adabu-Mithali 1:7.
Badili mtazamo ndugu yangu manoah,umkubali Bwana Yesu leo aingie maishani mwako na kukuokoa.
sina aisee... ngoja niangalie hapa anaeshangaa shangaa nimdake.
Nimeshasogea,kweli tunatakiwa tuishi kwa upendo,kusaidiana kwa matatizo,raha na shida,hivo ndo anavyotaka mungu
Siyo soundi nampa neno la mungu ila kama anajua mungu amesema tupendane atanielewa,vinginvyo ataniona naomba country music
mwamini bwana yesu,nawe utaokoka pamoja na nyumba yako-matendo ya mitume 16:31.
Hii ndiyo njia ya kwenda mbinguni mkuu ousofia.
Yohana 14:6-yesu akamwambia,mimi ndimi njia,na kweli,na uzima.
Mtu haji kwa baba,ila kwa njia ya mimi.
Karibu kwa yesu tufurahie maisha pamoja.
wengine wako kuTV wanasubiria ManU apewe kibondo kingine na balotelli,leo fagason anapigwa saba bila dadadadeki
Yaani ikifika w'end usipoyaona majina ya madada jf unahisi umevurugwa kabisa! Pole we.
1 Corinthians 13:48a
Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love does not delight in evil but rejoices with the truth. It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres. Love never fails ..
Huoni kwa msimamo wako wa biblia ukiwa na mimi utakuwa umempata mwumini wa kumpeleka mbinguni?
Mmmh catherine habari yako
Kamatia Bishanga
unataka The secretary aniharibu reception....!!!! ngoja kuna mtu nshamuona hapa namlia timing. ukiona nimepote ghafla ujue mambo yashakuwa sukari.