donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Chief usiku hua sizingatii kushiba sanamzee unashiba kabisa hapo..?
Hapo usikute familia nzima bongo kama darmzee unashiba kabisa hapo..?
We bro nipe kazi nyumbani kwako maana duh
Heheh, mkuu nawewe mzee wa diko?We bro nipe kazi nyumbani kwako maana duh
Ninachoweza kupika ni chapati za kuchemsha tu
Haha za kuchemsha tena mzee? Au za kumimina?Ninachoweza kupika ni chapati za kuchemsha tu
Za kuchemsha mkuu