Kama Kampeni Zinaongozwa na Mtu wa Darasa la Saba,Ccm Ipo Taabani.

Wanaukumbi.

Abdalah Bulembo ndiye anaongoza kampeni za ccm na elimu yake ni darasa la saba.

Nimeamini kuwa ndio maana siku zinaposonga wanaendelea kupoteza hata zile kura chache ambazo wangepata.

Nchi hii darasa la saba ndio sehemu kubwa ya wapiga kura.Wanamuelewa darasa la saba mwenzao akiongeoa.Naona wewe siasa unadhani ni kitivo cha cha chuo kikuu.Mtakoma safari hii.Ni magufuli tu Raisi.

CCM tutawajazia darasa la saba kila upande wawashughulikie hadi mkome kuingia kichwa kichwa kwenye siasa NA HUYO lOWASA WENU.
 
Na pia Magufuli hajui duniani kunaendelea nini zaidi ya idadi ya madaraja na samaki baharini.
 
CCM ni vilaza sana...!!!

Hata Ma Prof, Ma Dr... walio jiunga CCM wanakuwa zero kabisa...

Bulembo, zero minded kabisa... Tumbo kama Chura vile...!!
 
Nchi hii darasa la saba ndio sehemu kubwa ya wapiga kura.Wanamuelewa darasa la saba mwenzao akiongeoa.Naona wewe siasa unadhani ni kitivo cha cha chuo kikuu.Mtakoma safari hii.Ni magufuli tu Raisi.

CCM tutawajazia darasa la saba kila upande wawashughulikie hadi mkome kuingia kichwa kichwa kwenye siasa NA HUYO lOWASA WENU.

Tatizo umekuwa na midadi kama mganga wa majini, kwani darasa la saba hawezi kuongoza watu? mbona kama ww ni msomi uchaguzi wako unaonekana kama hata darasa la saba hujamaliza, ww unamshangaa Burembo badala ya kumshangaa Mbowe- Elimu yake si ya kuwa mwenyekiti wa chama kikubwa kama chadema, na ndo maana hawezi kugombea uraisi na ndo maana hata maamuzi aliyoyafanya ss yanaigarimu chadema na (UKAWA) kama huwezi kutambua ugonjwa wa viongozi wako, eti ww unaona Burembo, labda tu ngoja nikusaidie- inaonekana Burembo ana uwezo mkubwa sana kuliko viongozi wa UKAWA kwa ss, kwani tokea wasomi wameondoka kwenye huo UKAWA-yani Dr.Slaa na Prof.Lipumba. Ss muda wote ni migogoro tu, hilo ulioni?
 
Back
Top Bottom