Kama Kampeni Zinaongozwa na Mtu wa Darasa la Saba,Ccm Ipo Taabani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Kampeni Zinaongozwa na Mtu wa Darasa la Saba,Ccm Ipo Taabani.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by DALLAI LAMA, Sep 22, 2015.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2015
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 180
  Wanaukumbi.

  Abdalah Bulembo ndiye anaongoza kampeni za ccm na elimu yake ni darasa la saba.

  Nimeamini kuwa ndio maana siku zinaposonga wanaendelea kupoteza hata zile kura chache ambazo wangepata.

  Kauli zake,menejimenti yake kichekesho kumwongoza mtu mwenye phd.

  Magufuli analia kuwa wanaomuunga mkono usiku wanaisapoti Chadema,kucopy nembo ya M4C kashauriwa na kilaza.

  Mwaka wa Chadema na Lowassa huu,waliokuwa ktk kampeni wamekimbia..

  Ccm ipo taabani,Lowassa anawapeleka puta.
   
 2. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2015
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,956
  Likes Received: 7,727
  Trophy Points: 280
  CCM ndio inaondoka hivyo! Ndio maana tunashuhudia vitu strange ambavyo havijawahi kutokea katika ulimwengu wa siasa, Mtu anayetaka kuchaguliwa kuwa RAIS, hajui Rais wa LIBYA alikuwa nani, pia hajui Rais wa IRAQ alikuwa nani!
  Cha ajabu anafurama majukwaani na kuanza kupiga pushapu! This is very strange to me, Niliyeshuhudia uchaguzi wa Rais wa awamu ya Pili, tatu, nne ......
   
 3. D2050

  D2050 JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2015
  Joined: Nov 28, 2013
  Messages: 1,469
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  ukiona chama kampeni zake zinaongozwa na mtu asiye kuwa mwanachama wa chama hicho kunawalakini hapo.SUMAYE hana chama anaongoza kampeni za cdm
  SUMAYE aliyenunua rada alieongoza kuliingiza taifa hili ktk umasikini ndio anaongoza kampeni za wapenda mabadiliko ujuwe kunawalakini
   
 4. Pol Pot

  Pol Pot JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2015
  Joined: Dec 5, 2012
  Messages: 985
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  Raisi wako anasahau jina la mke wake. Kwenye kampeni anasema ccm oyeee. Zanzibar aliwaambia kama mnataka kudansi nichagueni mimi. Juzi kati alimwagaa naniii huko chato. Yaani yupo kama robot hivi. Unaliseti halafu tu linaanza kuropaka
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2015
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 180
  Magufuli amekuwa mgombea binafsi..

  Wasanii wanalamba bingo kuwaburudisha watu.

  Mgombea ameanza kulialia kutoungwa mkono.
   
 6. p

  putin v JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2015
  Joined: Mar 21, 2014
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA!! SASA HIVI UKIWA MTATUKANA KILA MTU...KADRI OCT 25th INAVYOKARIBIA NDIO MNAZIDI KUWEWESEKA!! MAMBO MBONA BADO SANA.... ASANTE SANA KAGERA tunamaanisha...Muleba, biharamulo, bukoba,missenyi,karagwe na Ngara.... kama walivyofanya Mara,SIMIYU,TABORA na KIGOMA....KAGERA NAO wamepaza sauti... IRUNGI IRUNGI ISHOMILE, WARANGIRA NA BANA BANYAMBO WOTE.... MAGUFULI FOR TANZANIA
   
 7. k

  kibibi005 Member

  #7
  Sep 22, 2015
  Joined: Aug 20, 2015
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ngoja October tuone mPHD Mbowe na Sumaye watakapo wafanya kuwa WAKIWA
  Bulembo baba dawa imeshaanza kuwakolea songa mbele october yaja!
   
 8. k

  kiongera Member

  #8
  Sep 23, 2015
  Joined: Jul 31, 2015
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu tunaona mambo mpaka push up kweli hamna sera
   
 9. D2050

  D2050 JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2015
  Joined: Nov 28, 2013
  Messages: 1,469
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  Mgombea uraisi kukimbia hata kama hajakimbizwa na mtu,mgombea uraisi kushindwa kusimama jukwaani angarau kwa nusu lisaa, mgombea uraisi kusalimia salam za vyama vingine,mgombea uraisi kusahau jina la mkewake.
   
 10. i

  ibesa mau JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2015
  Joined: Sep 17, 2015
  Messages: 1,624
  Likes Received: 1,029
  Trophy Points: 280
  std mwingine kibajaji
   
 11. Jigsaw

  Jigsaw JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2015
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,818
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mtaongea Lugha zote mwaka huu. Ila Lowassa ndio atakaye kuwa RAIS wa Tanzania.
   
 12. dist111

  dist111 JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2015
  Joined: Nov 29, 2012
  Messages: 3,035
  Likes Received: 1,376
  Trophy Points: 280
  Lowasa hana mvuto tena! Baada ya kuthibitisha kama amefanya mambo chato, sina ham tena
   
 13. Moi Dinya

  Moi Dinya JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2015
  Joined: May 29, 2014
  Messages: 1,302
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  pale chato lowasa alifanya nini
   
 14. n

  nndondo JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2015
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  hii argument haina mashikko, inaonyesha muandishi ndio wale wale wa darasa la saba, ni kawaida sana kampeni za vyama vikubwa katika nchi zilizoendelea kuendeshwa na watu wasiowanachama kwa kuwa kuendesha kampeni ni jambo la kisomi na kisayansi. Pili kama alivyo Sumaye katika kuliletea hasara taifa, madhara ya ununzi wa radi pengine ni madogo kuliko ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa na kuwauzia watu wasiostahili wakiwemo ma girl friend zake mgombea urais wa ccM, leo hii mamia ya wananchi hawajalipwa hata haki zao na pengine hawatziona milele, huyu rais tayari amelaani wana kumuweka kitini ni kutamka laana kwa Tanzania, Tazama leo ajali barabarani zilivyozidi eti anasingizia wenye malori wakati chanzo ni rushwa anayoikumbatia bararabara za lami zimejaa matuta, rais mwenye ubabe wa kudhulumu hatufai Tanzania na hatumschagui
   
 15. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2015
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 1,664
  Trophy Points: 280
  Bora tumchague huyu anaesahau jina la mke na kunanihii kuliko wapiga dili wa CCM. Tembo wetu wataisha na huku watoto wetu wakibaki kuwa zezeta wa madawa
   
 16. D2050

  D2050 JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2015
  Joined: Nov 28, 2013
  Messages: 1,469
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  baraza la mawaziri lilibaliki uuzwaji wa nyumba hizo waziri mkuu alilijua hilo ndiomaana huwezi kumsikia SUMAYE akiliongelea hili kwasababu yeye ndio alikuwa waziri mkuu kipindi hicho.
  nyumba ni zawizi waliouziwa nao ni wezi akiwemo SUMAYE ambaye aliuziwa nyumba hizo.elimu ya darasa la saba la bulembo nisawa na elimu ya six ya mbowe hawana utofauti. IKULU SIYO WADI YA WAGONJWA WA KIHARUSI.
   
 17. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2015
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,956
  Likes Received: 7,727
  Trophy Points: 280
  Alilala na mzazi wako wa kike!
   
 18. p

  pilusonyo JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2015
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 762
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ccm ndembe ndembe
   
 19. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2015
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 9,048
  Likes Received: 7,478
  Trophy Points: 280
  bulembo amemchomeka binti yake ubunge wa viti maalum halafu magufuli anacheka cheka tu,..
   
 20. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2015
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,956
  Likes Received: 7,727
  Trophy Points: 280
  Do you agree with MAGUFULI that SADDAM was for kuwait?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...