​sailing on the same boat mkuuelfu kumi na shilingi tano...
​sailing on the same boat mkuu
Kwa hiyo ukianzia mwanzoni ungeandika Shillingi Elfu Kumi na Shilingi Tano.
"Shilingi kumi elfu na tano tu"
Mkulima mmoja wa pamba Maswa shinyanga, alipouza pamba yake alipata tsh 10,005.
Basi alizichukua pesa zote na kuzipeleka benki.
Akamkabidhi tella wa benki. ilikuwa hivi:
Tella akapokea pesa na kuandika lisiti kwa maneno
NIMEPOKEA SHILINGI ELFU KUMI NA TANO.
Kama wewe unge andikaje?
elfu kumi na shilingi tano...
Songíto;3112842 said:kumi elfu na tano!!
Songíto;3112842 said:kumi elfu na tano!!
Loooh;wewe ndio hamna kitu kabisa!!