Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,368
- 3,393
Mimi simuogopi, peke yako kivyako, kivyenu kama mnamuogopa.
Kinachowauma Machadema ni hiki hapa 👇Unamwogopa wewe...
CHADEMA ndio inawadhulumu hivyo CCM inatatua?Wananchi wanafurahia na kurudisha Imani Kwa chama wewe unasema anawashtaki?
Na Kwa taarifa Yako tuu amesema Kila kilichojificha kinawekwa wazi Ili wahusika wajitathmini
Nguvu ipi ya Dola Kila sehemu akipota watu wanakanywgana?
Kwa akili Yako mbovu Ukiwa na kero utapata Msaada Kwa Lisu au Kwa Makonda?
Mbona mna visingizio sana,Tume tayari Iko huru.Unadhani hatujui Nini kinaendelea kwenye hizo nyomi fake. Kama kweli mnaamini mna nyomi za ushawishi acheni tume ya uchaguzi iwe huru kwa maana ya huru mje mfurahie show.
Lisu hatakuwa na muda wa kutatua KERO kwa njia za kiki, Bali mifumo itawajibika. Hizo mbinu za kizee bakini Nazo nyinyi majizi ya kura.
kivipi, kawazuia wasifanye siasa au kawapungizia ruzuku. Domo-kaya hapo ni timing tu wacha amwage upupu utakaomwasha mwenyewe. Machadema wanamsoma ili wamsome bibi kizee kamtuma nini hasa....Kwa ujio wa Makonda wanaoumia zaidi ni Machadema 😁😁
Mkuu ChoiceVariable , kwanza nikupongeze kwa analysis yako iko very objective. Kiukweli hata Rais Samia, haogopwi kama Makonda!, alipoanza kumtolea ultimatum PM, sisi wa kushauri, tulishauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!Awamu ya 5,ukimtoa marehemu Rais Magufuli,hakuna mtu mwingine aliweza kumgusa Makonda.Alikiwa anaogopwa kushinda VP na PM.
Awamu ya 6, Ukimtoa Rais Samia, hakuna Kiongozi mwingine anaogopwa kama Mwenezi Makonda, hakuna Cha VP Wala PM au NPM.
Machadema yamepoteana ni hopelesskivipi, kawazuia wasifanye siasa au kawapungizia ruzuku. Domo-kaya hapo ni timing tu wacha amwage upupu utakaomwasha mwenyewe. Machadema wanamsoma ili wamsome bibi kizee kamtuma nini hasa....
Kama ni rahisi kihivyo basi fanya na wewe huo ushirikina ile uje kua kama yeye au umzidi kabisa.Huyu mtu ni mshirikina haswa
Kwani nimesema nina shida ya kuwa kama yeye?Kama ni rahisi kihivyo basi fanya na wewe huo ushirikina ile uje kua kama yeye au umzidi kabisa.
Mbona mna visingizio sana,Tume tayari Iko huru.
Andaeni visingizio vingine 🤣🤣
Nyie nyumbu mmerogwa hasa.Baba angu mzazi alinisimulia hili with credible source of information
Kinachofanya Machadema mnaweweseka ni kuona Makonda anasepa na Kijiji hasa haya maeneo mliyotarajia kama hapa Tunduma 😁😁Nimecheka kwa nguvu kinoma, eti tume Iko huru. Tume huru inachaguliwa na mwenyekiti wa ccm, kichekesho zaidi matokeo ya urais hayahojiwi mahakamani! Na bado mnatoa mishipa ya shingo kuwa mnanyomi ya hatari🙆
Aliyepewa kapewa.Acha kudanganya watu. Mtu kaamua kukusanya online TV karibia zote na ametumia miezi kuzunguka mikoa ishirini, nani asipate taarifa zake. Mwisho wa siku alitolewa nje ya system anasahaulika.
Nyie watu wavivu msio jituma ndio hua mnakimbilia huu ujinga wa kuamini vitu vya kufikirika,mtu akijituma mnakimbilia uchawi,sijui freemasons,mara ushoga,Kwani nimesema nina shida ya kuwa kama yeye?
Yani Baba yako anakuingiza kwenye kuamini mambo ya kufikirika? Basi hata Baba yako nae anayo hayo mambo,mwizi hushikwa na mwizi mwenzake,Baba angu mzazi alinisimulia hili with credible source of information
Kinachofanya Machadema mnaweweseka ni kuona Makonda anasepa na Kijiji hasa haya maeneo mliyotarajia kama hapa Tunduma 😁😁
View: https://www.instagram.com/reel/C3AlfgzK6Ct/?igsh=MWpmb2twMTRtZzIwcg==
Anzeni kutafuta visingizio mwaka huu wa 2024 na 2025.
Kwenye mtaa wangu,wanakijiji wamemuimba Jamaa yangu agombee udiwani na ni ccm huyo.