Kama ilivyokuwa awamu ya 5, ndivyo imekuwa awamu ya 6. Makonda ndio Mwanasiasa anayeogopwa zaidi baada ya Rais. Nini siri yake?

Siri yake ipo kwenye domo lake. Anajua kuchongea na kuendesha siasa za visa visa. Za kuwahadaa manyumbu ccm na wajinga vijijini. Tatizo kuu la nchi hii watu wengi wajinga kupindukia, hawajui kuchekecha kauli za domo kaya.
 
Nguvu ipi ya Dola Kila sehemu akipota watu wanakanywgana?

Kwa akili Yako mbovu Ukiwa na kero utapata Msaada Kwa Lisu au Kwa Makonda?

Unadhani hatujui Nini kinaendelea kwenye hizo nyomi fake. Kama kweli mnaamini mna nyomi za ushawishi acheni tume ya uchaguzi iwe huru kwa maana ya huru mje mfurahie show.

Lisu hatakuwa na muda wa kutatua KERO kwa njia za kiki, Bali mifumo itawajibika. Hizo mbinu za kizee bakini Nazo nyinyi majizi ya kura.
 
Mbona mna visingizio sana,Tume tayari Iko huru.

Andaeni visingizio vingine 🤣🤣
 
Kwa ujio wa Makonda wanaoumia zaidi ni Machadema 😁😁
kivipi, kawazuia wasifanye siasa au kawapungizia ruzuku. Domo-kaya hapo ni timing tu wacha amwage upupu utakaomwasha mwenyewe. Machadema wanamsoma ili wamsome bibi kizee kamtuma nini hasa....
 
Awamu ya 5,ukimtoa marehemu Rais Magufuli,hakuna mtu mwingine aliweza kumgusa Makonda.Alikiwa anaogopwa kushinda VP na PM.

Awamu ya 6, Ukimtoa Rais Samia, hakuna Kiongozi mwingine anaogopwa kama Mwenezi Makonda, hakuna Cha VP Wala PM au NPM.
Mkuu ChoiceVariable , kwanza nikupongeze kwa analysis yako iko very objective. Kiukweli hata Rais Samia, haogopwi kama Makonda!, alipoanza kumtolea ultimatum PM, sisi wa kushauri, tulishauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Kiukweli kabisa huyu jamaa Konda Boy Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Nimeuliza humu Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
 
kivipi, kawazuia wasifanye siasa au kawapungizia ruzuku. Domo-kaya hapo ni timing tu wacha amwage upupu utakaomwasha mwenyewe. Machadema wanamsoma ili wamsome bibi kizee kamtuma nini hasa....
Machadema yamepoteana ni hopeless
 
Mbona mna visingizio sana,Tume tayari Iko huru.

Andaeni visingizio vingine 🤣🤣

Nimecheka kwa nguvu kinoma, eti tume Iko huru. Tume huru inachaguliwa na mwenyekiti wa ccm, kichekesho zaidi matokeo ya urais hayahojiwi mahakamani! Na bado mnatoa mishipa ya shingo kuwa mnanyomi ya hatari🙆
 
Kinachofanya Machadema mnaweweseka ni kuona Makonda anasepa na Kijiji hasa haya maeneo mliyotarajia kama hapa Tunduma 😁😁

View: https://www.instagram.com/reel/C3AlfgzK6Ct/?igsh=MWpmb2twMTRtZzIwcg==

Anzeni kutafuta visingizio mwaka huu wa 2024 na 2025.

Kwenye mtaa wangu,wanakijiji wamemuimba Jamaa yangu agombee udiwani na ni ccm huyo.
 
Yaani uwe na nguvu ya Dola tena kwa chama kilichozeekea madarakani ukose watu kwenye mikutano! Hasa ukizingatia watu ndio sehemu ya hadaa kuwa unakubalika? Hakuna mwenye tatizo na nyomi yenu maana tunajua inapatikana kwa shuruti, tunataka tume huru ya uchaguzi, hakuna mbeleko kama hujabadili I'd.
 
Back
Top Bottom