Kama huwezi kuchat basi tuachane

I have been facing the same problem,,, mwanzoni nilimvumilia kwa kuwa alikuwa ni dent...ila bado habadiliki
 
Umefanya jambo la maaana ulivokubali kuachana
 
Usitumie hasira, wala nguvu, na wewe utakuwa hukumpenda simply tuu unamwambia sawa tuachane kisa kuchati, kaa nae ongea nae taratbu, muleweshe pasipo kutumia ukali atakuelewa
 
Usitumie hasira, wala nguvu, na wewe utakuwa hukumpenda simply tuu unamwambia sawa tuachane kisa kuchati, kaa nae ongea nae taratbu, muleweshe pasipo kutumia ukali atakuelewa
Sijatumia hasira mkuu mwanamke akiamua kitu hashauriki
 
Utoto tu unamsumbua. Akikuwa ataacha tu. 30+ atatafuta mtu kama wewe hatopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…