Kama huu uvumi ni wa kweli kuhusu Bill Gates ndoa kuvunjika basi kaniangusha vibaya

Mkuu amekuangusha alikuwa mwalimu wako wa mahusiano ?

Cha maana kama windows 10 ingekuwa mbovu kuliko windows 8 au Vista ungesema amekuangusha, hayo mengine ni maisha yake na yeye ndio mtaalamu wa maisha yake kuliko yoyote yule...
 
Wanadai wimbi la wanaume wa kizungu wanaoa sana wanawake jamii ya china, Thailand, ufilipino na vietnam kwasababu ni watiifu na waaminifu sana kwa wanaume kwenye ndoa na mahusiano. Wanajishughulisha hata kwenye upishi na kutoonyesha dharau.

Aliyekuwa kansela wa Ujerumani Gerhard Schroder kaopoa demu kutoka Thailand na haambiwi kitu. Ameamua hadi kuhamia huko.
Hata mmiliki wa Facebook na yeye naona mke wake ana asili ya China
 
Back
Top Bottom