sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
"Kula umeshiba"Kula umeshiba..
Uwe na kawaida ya mazoezi jioni
Au ubize na kazi
Uvae.nguo nyepesi
Chumba kiwe na hewa ya kutosha..
Mashuka.masafi.
Upo sahihi mkuu na hii mada ineshafungwa!Kuna msemo kwamba "Mafundi seremala ndio wanaoongoza kwa kupata usingizi mzuri." Jiulize kwa nini? Usingizi ni sehemu ya burudani kwa mwanadamu. Burudani yoyote ile inahitaji maandalizi ili mwili uifurahie.
1. Hakikisha mwili umelishwa vizuri na kuchoshwa kwa kazi halali ya kipato
2. Hakikisha akili imelishwa chakula chake bora na cha kiafya
3. Hakikisha moyo wako umesafishwa na hauna mzigo wa husda, chuki, wivu, na negatives kama hizo
Hapo dakika 5 tu ushasinzia sana tu, wanaweza kukuhamisha hadi Kongo bila kujua
Hahahaaa naamini hili fumbo linahitaji mtu alifumbue, wachache sana watakuwa wamekuelewa.Soma biblia
Hahahaaa naamini hili fumbo linahitaji mtu alifumbue, wachache sana watakuwa wamekuelewa.
Akishika tu biblia shetani atampa usingizi haraka sana.
Nadhani baada ya swali kuulizwa na hili jibu kupatikana hapa ndio ingekuwa mwisho wa commentsKuna msemo kwamba "Mafundi seremala ndio wanaoongoza kwa kupata usingizi mzuri." Jiulize kwa nini? Usingizi ni sehemu ya burudani kwa mwanadamu. Burudani yoyote ile inahitaji maandalizi ili mwili uifurahie.