Kama Hutaki Acha kazi- wimbo wa mabosi maofisini

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
habari wadau..

toka serikali ya hapa kazi imeingia na utumbuaji wake.. mkwara wa kama hutaki acha kazi umeshamiri sana ofisini..

kitu kidogo tu unaambiwa kama hutaki acha kazi??

jana makonda kasainisha wakuu wa idara mkataba mwanzo waligoma kusaini wakaambiwa asiyetaka kusain aache kazi wakanywea wenyewe..

kuna walimu kanda ya ziwa walishaambiwa wakafagie shule jumamosi na kama hutaki acha kazi wakanywea...

nowdays hakuna kubembelezana wala mgomo wowote wa wafanyakazi hasa wa uma..

maana ukigoma tu hakuna anaekusikiliza zaidi ya kuambiwa kama hutaki acha kazi
 
hahahahah walimu kwenda kufagia shule!!! ila sio mbaya sana si ndio Jumamosi ya mwisho wa mwezi usafi:D:D:D:D
 
Mpaka Magu amalize awamu yake mengi tutayaona..Ila angalizo tu..this is too much huko mbele naona kama kuna mkwamo
 
Back
Top Bottom