John Heche: Kama hutaki kukosolewa ukiwa kwenye ofisi ya umma acha kazi kalee watoto wako

Anaandika Mbunge wa Tarime John Heche
Kama hutaki kukosolewa ukiwa kwenye ofisi ya umma acha kazi kalee watoto wako nyumbani, vinginevyo tukikulipa mshahara na posho tutakuhoji.
Swadaktaa...
 
882c827e2e9df29df82373fae32bed8e.jpg
 
Rais anajua aliingiaje madarakani. Hofu imemjaa na hasa akitafakari Lowasa alivyomtesa kwenye kinyang'anyiro mpaka akaanza kupiga PUSH-up kama bondia. Kibaya zaidi akiutafakari ujio mpya wa TUNDU LISSU ndo anahisi kuchanganyikiwa. Anatamani hata kupiga marufuku ofisi zote za CHADEMA zisifunguliwe mpaka 2010. Lakini anasahau kuwa Hata Sauli alimwinda DAUDI kumuua kwa sababu ya wivu tu wa madaraka lakini hakufanikiwa.
 
Anaandika Mbunge wa Tarime John Heche
Kama hutaki kukosolewa ukiwa kwenye ofisi ya umma acha kazi kalee watoto wako nyumbani, vinginevyo tukikulipa mshahara na posho tutakuhoji.
Kosoa kwa staha wala hautasumbuliwa.
 
Back
Top Bottom