Unapatikana wapiUjumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapenda kunywa nini?? Nidai cha weekend mkuu!Iko wazi wanaume hatupendi kelele ila kuwaoa tutawaoa na ukileta kelele unatulizwa maana miongoni mwa majukumu tuliyopewa km wanaume ni kuhakikisha mnanyooka
Hahah usijali mkuu nikiwa kwa mangi ntakushtua mkuu!Unapenda kunywa nini?? Nidai cha weekend mkuu!
Wa kwangu ananiambiaga kama kuna kitu hakiwezi nishinda basi ni wewe! 😂 Kwahiyo mimi ni kitu? 🤷🏻♀️
[emoji23][emoji23]Hata hii thread ni kelele tupu. Sijui na JF tusiwe tunaingia...
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
[emoji1787]ila kuna watu nivichaaKelele nazopenda ni zile za kitandani...
Jamani wa..waa...wakiiiip... Wakipe.. aaaaai... Wakipek....asssiiiii.... Niiiaa...Ch...wewe wakipekeeee unajua
Tajibu tu ili nimwage wazunguWewe hujawahi kutana na sisi wa makelele hadi kitandani? Na sio hayo unayodhani, ni unaulizwa maswali hadi katikati ya tendo. Unanipenda? Unaenjoy?
Atakuwa anaingia kulala humo kabla yakoMimi nimesha plan nyumba yangu lazima iwe na chumba changu binafsi kisicho husiana na yoyote ili kukwepa kelele
Baada ya kelele zenu huwa hampatagi muda wa kutafakari kuwa haya mambo nimeongea ilikuwa lazima niongee au nimezidisha/ nimeongea unnecessarily.?Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa inaweza kuwa wewe hata ikiwa hivyo kelele naa karaha kama zote🤣Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume hana muda maalumu anachokifanya kwa wakati huo ndiyo sahihi ,hivyo acheni kutupigia makelele mnatuviruga sana sema tatizo hapo kati kwenu kwenye mapaja mnakakitu flan hivi kanatufanya tuendelee tuu kukaa ila mna tukwanza na makelele yenu.Kuna muda wa kila jambo.
"Nunuwa uchape lodge urudi kwako" mwisho wa kunukuu.Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nunuwa chapa lodge rudi kwako, mmeshapewa code hiyo mpendwe vipi sasa?Mwanaume hana muda maalumu anachokifanya kwa wakati huo ndiyo sahihi ,hivyo acheni kutupigia makelele mnatuviruga sana sema tatizo hapo kati kwenu kwenye mapaja mnakakitu flan hivi kanatufanya tuendelee tuu kukaa ila mna tukwanza na makelele yenu.
tupo hapa wapenda keleleUjumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!