Kama hupendi kelele usioe

Mimi nimesha plan nyumba yangu lazima iwe na chumba changu binafsi kisicho husiana na yoyote ili kukwepa kelele
[emoji16][emoji16]

Yani unawaza kama mm

Nawaza watu wanawezaje kukaa na mke in one bedroom. Akianza kelele zake hakuna hata kwa kujifichia yaani akigeuka huku akikuona umetulia anaanza kelele.

Ukiwa na nyumba kama ya mwijaku anapiga kelele upstairs wewe unakaa downstairs unafuta vioo..[emoji16][emoji16]

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana wanawake huwa Wana "uchizi"...ikitokea ukiwakamata lazima mgombane.....

Itokee unafanya kazi ofisi imejaa wanawake lazima utagundua kuna siku wananuna bila sababu....au mnapigizana kelele bila sababu
sababu ipo, wanawake baadhi wakiwa kwenye siku sao za hedhi hawana furaha na wanakuwa wakali sana
 
Ni hormones tu particularly Estrogen. Estrogen levels zikiwa low you may feel sad, anxious or frustrated hata bila sababu.
Tatizo kubwa ni kuwa wanawake wanatumia hili kama kisingizio. Ni kama ujauzito. Wanawake, baadhi, hutumia kisingizio cha ujauzito kuleta vurugu zisizo na kichwa wala miguu kwa waume zao.
 
Tatizo kubwa ni kuwa wanawake wanatumia hili kama kisingizio. Ni kama ujauzito. Wanawake, baadhi, hutumia kisingizio cha ujauzito kuleta vurugu zisizo na kichwa wala miguu kwa waume zao.

Mkuu,

This is scientifically proven. Sasa tunatumia kama kisingizio vipi na ni kitu kinatutokea kila mwezi?
 

Usioe!! Nakuasa Usioe!!

Kama umeshaoa sawa, ila kama bado usioe mdogo wangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…