Wewe ni mpumbavu endelea kuwa mpumbavu hivo hivo!Haibiwi mtu hapa
Nitakutumia mkuu sijaangalia mda locol chanell lkn mm ninatumia Dstv, inakuaje apoHabari za asubuhi wadau...
Kama unaking'amuzi cha startimes antenna au dish na haupati local channels either hazipo au hadi ulipie nitafute....
Ninachohitaji ni kadi number ya king'amuzi chako na uwe jirani na king'amuzi chako ili upokee maelezo ya muhimu.
Zifuatazo ni channels utakazo pata
1.MBC2(movies)
2.UHAI TV(Azam Two)
3.TV1
4.JCTV(Bongo movie)
5.ITV
6.TBC
7.CHANNEL10
8.CLOUDS TV
9.EATV
10.STARTV
11.ATN
sms number ya card yako kwenda 0788643144
NB: malipo kwanza ya Tsh 20,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha imechukua vibayaNitakutumia mkuu sijaangalia mda locol chanell lkn mm ninatumia Dstv, inakuaje apo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa dstv hapana,ila za dstv kuweka kwenye startimes inawezekanaNitakutumia mkuu sijaangalia mda locol chanell lkn mm ninatumia Dstv, inakuaje apo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikikikii hapo hadi niwe na king'amuzi chako,remotely sitaweza zaidi ya kuingiza local kwenye startimesMi nataka ITV tu kwenye DSTV na kama unaweza kuiondoa TBC kabisa
Hapana wamezipiga pin humo,ninachokifanya ni kuweka kwenye startimes.Mkuu hata kama unatumia dishi la azam inaweza leta hizo locla chanel zingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inakuwaje malipo kwanza kabla ya huduma? Mtu asipopata hizo channel atakupata wapi?Habari za asubuhi wadau...
Kama unaking'amuzi cha startimes antenna au dish na haupati local channels either hazipo au hadi ulipie nitafute....
Ninachohitaji ni kadi number ya king'amuzi chako na uwe jirani na king'amuzi chako ili upokee maelezo ya muhimu.
Zifuatazo ni channels utakazo pata
1.MBC2(movies)
2.UHAI TV(Azam Two)
3.TV1
4.JCTV(Bongo movie)
5.ITV
6.TBC
7.CHANNEL10
8.CLOUDS TV
9.EATV
10.STARTV
11.ATN
sms number ya card yako kwenda 0788643144
NB: malipo kwanza ya Tsh 20,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu ya nini,hapa ndipo tunapo feli! Amazon,ebay,alibaba wanafanyaje?Mkuu inakuwaje malipo kwanza kabla ya huduma? Mtu asipopata hizo channel atakupata wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu wizi ni kabambe kama taifa stasHabari za asubuhi wadau...
Kama unaking'amuzi cha startimes antenna au dish na haupati local channels either hazipo au hadi ulipie nitafute....
Ninachohitaji ni kadi number ya king'amuzi chako na uwe jirani na king'amuzi chako ili upokee maelezo ya muhimu.
Zifuatazo ni channels utakazo pata
1.MBC2(movies)
2.UHAI TV(Azam Two)
3.TV1
4.JCTV(Bongo movie)
5.ITV
6.TBC
7.CHANNEL10
8.CLOUDS TV
9.EATV
10.STARTV
11.ATN
sms number ya card yako kwenda 0788643144
NB: malipo kwanza ya Tsh 20,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natumia king'amuzi changu cha AZAM cha MALAWI nalipia elfu 7 tu channels zote nazipata mpaka raha yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikutapeli nini ayseee...